Baada ya jana kupongezwa kwa namna alivyoyapokea matokeo ya kesi ya uchaguzi kwa ustahimilivu, leo wakati akiongea na wajumbe wa chama chake uvumilivu ulimshinda na kuwaita wale majaji 4 kati ya 6...
Waliojiandikisha: 23,161,440
Waliopiga kura:15,589,639
kura halali:402,248
MATOKEO:
Chama A kura: 8,882,925
Chama B kura: 6,724,048
Ukiacha vyama vingine,
Kura za chama A + kura za chama B=...
Tumeshuhudia ukawa wakimuunga mkono Uhuru Kenyatta katika kampeni za uchaguzi huko Kenya na hapa JF wafuasi wakipiga kelele kila kukicha.
Tumeshuhudia pia wapiga zumari wa UKAWA wakimsifu...
Wadau katika kuangalia angalia reactions za wananchi jirani zetu huko Kenya baada ya maamuzi ya jana kuwa uchaguzi urudiwe, nimekutana na video iliyoniacha wazi kwa Police wa kisumu kuwabeba raia...
Wale wanaosifia na wale wanaoponda, Tafadhalini, kwa roho safi, si kwa ubaya, punguzeni kujaza server za jf na mada nyingi za siasa/demokrasia.... Kwa kimombo...'The jury is still out there'
Kama...
Mimi sifwati mkumbo, najua kinachowasumbua Waafrika wengi ni inferiority complex, Mwafrika anafanya jambo ili asifiwe na Muzungu na kamwe hafanyi kwa manufaa yake na watu wake, ukiangalia Waafrika...
How can you speak and comment on the general political condition in Kenya after refusal of the general election by the high court
Sent using Jamii Forums mobile app
BAADA YA KUANGALIA WAPINZANI WANAOPATIKANA TANZANIA,RWANDA,UGANDA,
NIMEGUNDUA NDUGU RAILA AMORO ODINGA ANAPASWA KUPEWA TUZO YA MWANASIASA BORA UPINZANI AFRICA MASHARIKI KWA SABABU ZIFUATAZO...
Kenyatta ahidi kuifanyia mabadiliko makubwa tume ya mahakama akishinda uchaguzi
Source: Citizen Tv dondoo za habari
kwa habari kamili na undani wake tujumuike muda wa habari CitizenTv jioni...
Habari Ndugu Zangu Wana JF!!
Kwanza Kabisa Naomba Kipekee Niipongeze Mahakama Ya Kenya Kwa Kusimamia Demokrasi Ndani Ya Nchi Yao Kwa Kuonyesha Kuwa Kila Aina Ya haki Mbele Ya Mahakama Inawekana...
Katika research ilihofanywa na shirika reputable international orgo lisilo la kiserikali (Price Waterhouse Coopers) limetoa matokeo kuwa Dar ndio mji wenye fursa nyingi za kiuwekezaji na mazingira...
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa hukumu kwamba Uhuru Kenyatta wa Jubilee hakushinda kihalali na hivyo kukubaliana na madai ya Raila Odinga kwamba uchaguzi mkuu nchini humo haukuendeshwa...
UHURU KENYATTA SIYO MWANADEMOKRASIA NI MNAFIKI, MAFIA NA MZUGAJI, HANA JINSI KATIBA ALIYOIPIGANIA ODINGA NDIO INAMFUNGA.
1. Wakenya sio watanzania kwamba unaongoza maiti. Kenya dakika chache tu...
Nchini Kenya kumetokea moto usiku wa saa 8 katika shule ya wasichana ya Moi iliyopo Kibera na kuunguza bweni hivyo kusababisha wanafunzi 7 kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Taarifa...
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta...
-Hakubaliani na Maamuzi ya Majaji
-Amesema anaheshimu Maamuzi ya Majaji
-Awataka Wakenya Kudumisha Amani ya taifa hill
-Achukizwa na Maamuzi ya Watu 6 (Majaji)
-Yupo Tayari Kurudia Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.