He knows what he does, he had been living for his tomorrow and not for his today as other leaders.
He is neither arrogant nor proud, even as the ICC summoned him in order to enter the plea of...
Maana yule jamaa alifanya uhuni wa waziwazi mchana kweupeee jaluo ya watu ikawa inalia na kulalamika tuuu...hata IEBC ile siku ya mwisho walikuwa wanazugazuga tu kutangaza matokeo wakenya bwaaana...
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa Kenya kutenguliwa Tanzania tumejifunza somo kubwa sana la demokrasia nchini Kenya.
Ukweli kuna watu wachache sana wameyapokea matokeo hayo kama yalivyo, kwa kuwa...
SHOCKING REPORT FROM ICT ACCESS/AUDIT REPORT!
1.341 users accessed the system between 6th August 2017 to 22nd August 2017
2. There were 3395 failed log in attempts and 3851 successful log in...
Hivi zile Post Election Comments walikua wamelipwa Au? Mbona Kasoro ziko wazi hata Mfuasi wa Mbowe anaweza Kuziona Kabisa pasipo hata kuambiwa na Mungu wa Chadema (Lissu)?
Waangalizi wanavyokuja...
Nampongeza sana Raila Odinga na muungano wa NASA kwa ushindi waliopata hii leo kwa mahakama kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi wa urais.
Nawapomgeza pia majaji walioendesha kesi...
Wakenya Shikamooni!
Tukiacha hizi ligi zetu za jadi, wenzetu hawa wapo mbali sana na sisi walau kwa maeneo matatu muhimu na makubwa sana kwa mustakabali wa Taifa. Kama eneo la elimu, uchumi na...
Tusiwe Wanafiki, Majaji wa Kenya wangekuja kipindi kile, wasingechukua hata sekunde tano kumaliza Ccm. Tatizo Tanzania kila kitu ni siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti nyingi zinakadiria kwa kasi ya sasa ya ukuaji wa uchumi kwa nchi za Kenya na Tanzania zinaoneosha kama kila kitu kikiendelea kama kilivyo,basi mwaka 2022 Kenya itaipokeza Tanzania kijiti...
Pata matokeo ya uchaguzi kwa kujiunga na NASA tallying center. Simu yako inabidi iwe na Application ya Telegram. Click the link and you will be connected direct to the tallying center. Please...
Kile kinywaji nilichokuwa nimewaonyesha label ya Rest. Kuna wataalamu wamenisaidia kufanya branding kiufanisi. Je itapokelewa vizuri kwenye soko la EA community.? Je ipo atractive? Nipeni maoni...
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia...
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua...
EMAIL Tweet
Baz Ratner/TPX/Reuters
Thomas Mukoya/Reuters
Thomas Mukoya/TPX/Reuters
August 30, 2017, 1:46 pm
EMAIL Tweet
MORE
Kenya: The Election & the Cover-Up
Helen Epstein
Kenyans waiting to...
Leo Mahakama ya juu kabisa nchini Kenya inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uchaguzi wa urais.
Kesi hii imekuwa ikisikilizwa tangu mwanzoni mwa wiki na jopo la majaji 7.
Kesi hii ilifunguliwa...
Habari zenu familia ya JF. Kwa mujibu wa Redio DW ya Ujerumani idhaa ya kiswahili Leo mchana, wametangaza huenda taifa imara kiuchumi Africa Mashariki yaani Kenya huenda likagawanyika kisa...
Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi
Na ni kati ya...
Aug 31, 2017
Mombasa, Kenya
Man charged with terrorism for taking pictures of SGR
Police claim Malawian, Kristen Prince Kishombe drew a sketch of rail terminus and that he intended to use the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.