WEDNESDAY, AUGUST 30, 2017
PM: Investors coming to TZ must obey laws
Prime Minister Kassim Majaliwa
In Summary
Shipbuilding company shows interest of coming to TanzaniaAmbassador Shelukindo...
Mwili wa binti mwenye umri wa miaka 10 ambaye alitoweka ghafla siku ya ijumaa, wakutwa maeneo ya Mwingi Magharibi.
Mwili huo ukiwa mtupu umeokotwa jirani, na shule ya upili ya Itoroni huku mkono...
Tanzania inaongoza kwa kuweka vikwazo vya kibiashara dhidi ya majarani ndani ya muungano, ikifuatiwa na Kenya. Haya mataifa yamenuniana na kubanana sijui mwisho wake utakua vipi. Uganda pekee yake...
Baada ya marufuku ya kutumia mifuko ya plastiki kutekelezwa, sasa mifuko ya kubebea imeanza kutengenezwa kwa kutumia mifuko ya suruali za jinsi
Mifuko hiyo hushonwa na kutengenezwa kuwa mifuko...
VIDEO: Watu 12 wafariki baada ya gari kugongana na lori huko #Garissa, #Kenya. Hii ni katika barabara ya Garissa mpaka #Nairobi. Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya Garissa umefanya zoezi la...
Mahakama ya Juu nchini Kenya imeukubalia muungano wa upinzani nchini humo National Super Alliance (Nasa) kupekua sava zilizotumiwa na tume ya uchaguzi nchini humo wakati wa uchaguzi uliofanyika...
TUESDAY, AUGUST 29, 2017
THE CITIZEN
By Deogratius Kamagi @Deogratiuskamagi dkamagi@tz.nationmedia.com
Dar es Salaam. Tender for the construction of a major hydro-electric power plant at...
Firm’s presence in exploratory field could tilt scale in the joint pipeline development By Macharia Kamau | Published Tue, August 29th 2017 at 10:27, Updated August 29th 2017 at 10:35 GMT +3 SHARE...
CSeries WORLD Tour! ...17 airlines.
I've learned that 17 airlines are eagerly waiting after Bombardier to come at their headquarters to properly evaluate the plane, let all their technical and...
Habari Wakuu,
Msaada kwa aliye tumia huduma ya ePay Kenya hivi karibuni nataka nijue if they are still in the market, nashida na moja ya huduma zao ila nimetembelea site yao naona kama they are no...
New giant dinosaur species discovered in Tanzania walked the Earth nearly 100 million years ago
The fossils of the new dinosaur, called Shingopana songwensis, date back to the Cretaceous Period...
Ukubwa huwa ni dawa, ni msemo wa wahenga
Sasa namtuma njiwa, Awe kwenu ni mkunga
Leo ninatoa dawa, Ili muache kuringa
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikeshi
Hii ngoma ya kukesha, Asubuhi...
>>Is there anything that can be put in our context?,considering that TZ is going the same way.
shoppers in Kenya use an estimated 100 million plastic bags a year, many of which wind up in...
secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.
safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika...
Kiongozi wa muungano wa NASA- Raila Odinga ameelezea matumaini yake ya kushinda katika kesi aliyo-wasilisha katika Mahakama ya juu kupinga uchaguzi wa Rais Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi mkuu...
New giant dinosaur species discovered in Tanzania walked the Earth nearly 100 million years ago
The fossils of the new dinosaur, called Shingopana songwensis, date back to the Cretaceous Period...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la William Kimani Mwangi (32 )ameuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi nchini Kenya, baada ya kuibuka kwa ugomvi baina yao wakiwa bar.
Mkurugenzi wa makosa...
Serikali ya Kenya imeanza kutekeleza marufuku ya mifuko ya plastiki nchini humo baada ya juhudi za miaka mingi za kutaka kuipiga marufuku bila mafanikio. Juhudi za watengenezaji wa bidhaa kuomba...
Halmashauri ya kitaifa ya barabara kuu imeanza kuondoa matuta kwenye barabara kuu ya Thika Superhighway kufuatia shinikizo za gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Sonko. Mwezi Februari, mahakama kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.