Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.
Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni...
Kama kichwa kinavyojielezea imebidi nije mbio mbio vipo huyu jamaa kapteni wa mapambano wa NaSA kukiri live kuwa kina tallying in arusha hii imekaaje kidiplomasia na waziri wetu alikanusha kabisa...
Wakuu kwanza nawapongeza kwa uchaguzi.
Nsiwachoshe sasaaa
Huyu baba wa watuu mnataka kupiga naye pichaaaa, kila mtu, makampuni n.k,
Si atapata vidonda vya tumbo kwa hayo maharage?
Muoneeni...
KENYA: Watatu wafariki wakisheherekea ushindi wa Uhuru Kenyatta huku msichana 1 akiuawa kwa kupigwa risasi ktk ghasia huko Mathare.
=====
A young girl was shot dead by police firing "sporadic...
My thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has...
Akitumia ukurasa wake wa twitter Raisi wa Rwanda ambaye hivi majuzi amepata ridhaa ya kuiongoza Rwanda kwa mara nyingine, amempa pongezi raisi wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kuiongoza...
Kibera, Mathare, Eastleigh and several other parts of Nairobi are rocked by violent protests or celebrations at this very moment in the wake of Uhuru Kenyatta's declaration as winner of this yr's...
Wana JF
Nlikua najaribu kufanya mahesabu hapa, ya jumla ya matokea yaliyokwisha tangazwa na kumpa ushindi Uhuru Kenyatta kama ndie raisi mteuliwa, but kile nikijaribu kukotoa, naona haya mahesabu...
Naona kageuka gumzo kwenye vyombo vya habari huko Kenya na watu maarufu kv Omondi,Jeff Koinange nk wamemtumia kama fursa, sasa huyo Githeri man msimuache fukara mpeni fursa hata ya Tv commercial...
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!
Nini madhara ya...
Muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) umeendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yanayotangazwa na tume huru ya uchaguzi nchini humo (IEBC) huku umoja huo ukitaka tume imtangaze kiongozi...
Kenya election monitors urge losing candidates to accept poll results
Provisional results show incumbent Uhuru Kenyatta ahead, but opposition accuses officials of hiding Odinga victory
View...
Wakati Tanganyika ikiadhimisha sikukuu ya wakulima mnamo tarehe 08/08/2017, wakenya watakuwa wakipigana vikumbo kwenye mistari mirefu wakimchagua rais wao atakayewaongoza kwa kipindi kingine cha...
Habari Jamvini?,
Uchaguzi Mkuu wa Kenya [emoji1139] umefanyika siku ya Jumanne Agosti 8, 2017 ambapo kulikuwa na mchuano mkali kabisa kati ya Uhuru Kenyatta mgombea wa Jubilee na Raila Odinga...
Poleni na majukumu ya juma zima familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Ndugu zetu wakenya wamefanya uchaguzi lakini kura zilizotolewa kwa njia ya electroniki zimekataliwa na upinzani...
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya...
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.