Juz ndio nilipiga mstari wa kichwa cha habari hapo juu jamaa hana jokes mpya miaka yote anasimulia vitu hivyo hivyo anadhan anakutana na watu wapya kila siku wapenz wa comedy ndio wale wale jokes...
White Journalists are everywhere with Their Cameras Waiting for violence haha
Am just Searching this twitter streets Naona white Journalists kila mahali wakisaka news za Demonstrations ili waweze...
Nimefuatilia uchaguzi kenya na ningetaka kumshauri raila amollo odinga ajifunze kusoma alama za nyakati, kwanza mh raila aelewe kuna badhi ya makosa makubwa sana aliyafanya tangia siku ya...
Waangalizi wa kimataifa wa Umoja wa Afrika na Jumuiya ya Madola wametoa ripoti yao ya awali kuhusu uchaguzi Kenya na mazungumzo yao na kambi ya upinzani ya National Super Alliance (Nasa)...
Mimi Mwanakijiji
1 hr ·
With A Light Touch: After earnestly watching the final tallies of the Kenyan Election 2017 I went to bed like many others without knowing how this 'Game of Thrones' like...
My Prophecy To KENYA ELECTION this year 2017.
For the first time today 19/4/2017 God says Raila Odinga going to be a President in KENYA, means that ODINGA will WIN the General Election. Because...
MSANII maarufu wa muziki nchini Kenya,Charles Kanyi alimaarufu JAGUAR ameangua kilio kizito baada kushindwa kwenye kura za maoni akigombea Ubunge jimbo la Starehe kwa tiketi ya chama cha JUBILEE...
Namtazama John Kerry anavyowasifu kwa kuendesha uchaguzi kistaarabu na kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kukusanya na kujumlisha matokeo na kukamilisha process nzima ndani ya siku 2 tu za...
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
Mwirigi ambaye anatajwa...
Our Deputy Chief Agent Norman Magaya hospitalized at Nairobi Hosp. He suffered a heart attack after an altercation with Kimani Ichungwa. We suspect poisoning.
Kufuatia uchaguzi nchini Kenya watu wameuawa na askari eneo la Madhare nje kidogo ya Jiji la Nairobi ambao ni wafuasi wa NASA . Matukio haya hayaonyeshwi na vyombo vya habari vya Kenya.
Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana...
kwanza lets observe a moment of silence for the fallen heroes of NASA...RIP NASA...jamaa wameenda nyumbani wote... lol! what a waste of campaign funds
Rais ashachaguliwa...kenya has decided that...
Baada ya mgombea wa NASA kulalamika kuhusu matokeo sio halali yanayotolewa na tume kutokana kukosekana na baadhi ya nyaraka za fomu alizodai odinga
Sasa tume ya uchaguzi imesitisha kutangaza...
Huo ni ujumbe muhimu sana kwenu jioni hii. TZ haihusiki na figisu zenu, ibianeni, piganeni fanyeni yote mmalizane salama, msitafute mchawi. sisi na yetu na nyie na yenu. kila mmoja na lwake
Eritrea, Tanzania: Only African countries ready to face global pandemics
[https://static]
[http://www]
Abdur Rahman Alfa Shaban8 hours ago
Eritrea
Only two African countries are fully...
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
Mwirigi ambaye anatajwa...
Kukataliwa kwa matokeo ya uchaguzi katika tovuti ya tume ya uchaguzi nchini Kenya kwa mara nyengine tena kumezua majina ya fomu zinazotumiwa katika kunakili matokeo ya uchaguzi.
Fomu zilizotajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.