Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Watu watatu ikiwemo afisa wa polisi na polisi jamii wawili wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa msako wa wahalifu walioua raia watano Samburu. Mapigano hayo yaliyodumu usiku yalipelekea kuuawa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Today we are happy to launch eSIM (embedded SIM), a digital SIM that enables customers to access same functionality as someone using a physical SIM. You no longer need to fear damaging or losing...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa ninayoyaona kwenye majukwaa ya siasa za majirani zetu kenya, mungiki wanarudi muda wowote. Jamaa wanamtukana Rais kama mtoto.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi...
2 Reactions
5 Replies
640 Views
Serikali ya Kenya imezikumbusha mamlaka zake umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kilazima ni miaka 60 na 65 kwa wenye ulemavu kulingana na kanuni za tume ya utumishi wa umma za mwaka 2017 na...
0 Reactions
6 Replies
621 Views
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo...
1 Reactions
166 Replies
8K Views
UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini? Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
1 Reactions
14 Replies
656 Views
Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana...
10 Reactions
75 Replies
6K Views
It was a special Valentine’s Day for Paul Muli, 25, who tied the knot to multi-millionaire real estate tycoon Ruth Wanjiru, 31 years his senior. The couple formalised their three-year...
0 Reactions
49 Replies
13K Views
This is New Tanzania, there is no one can stop or challenge Tanzania in any way. Go go go Tanzania
1 Reactions
2 Replies
469 Views
MY TAKE: Wale wakenya waliopiga kelele za Sylvia Mulenge kukataliwa kuajiriwa na Vodacom Tanzania bado wapo hai? Wale wakenya wanaosema wakenya hawapo huru kufanya kazi Tanzania, ila watanzania...
4 Reactions
0 Replies
632 Views
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa...
5 Reactions
17 Replies
999 Views
Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya...
0 Reactions
4 Replies
892 Views
MY TAKE; Hii ndiyo nchi inayosema kuna uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nisaidieni utata huu. Je, ni sahihi pia kama mwizi akiiba halafu fedha ile akaiwekeza? === Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Kenya, Nancy Gathungu amependekeza watu wanaoiba fedha za...
2 Reactions
10 Replies
660 Views
Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi. Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti...
3 Reactions
6 Replies
989 Views
Back
Top Bottom