Wakenya mnaoandamana kwa vurugu ninyi ni wapumbavu hamstahili kuishi kwenye jamii iliyostaarabika hamuoni uko South Afrika wanaandamana kwa amani?
Wanafikisha madai yao bila matata ninyi mnafanya...
Hey fellow East Africans, please remind Raila zodinga, that he is now irrelevant, he should pass on the political wand to a younger generation.
His kind of politics reminds me of the long extinct...
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya.
Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya...
Maana nchi nzima wanakuta Nairobi Kwa maandamano na wengi wameapa kwenda state house kumtoa Ruto...Je Hali itakuwaje? Au ndio wanacopy ya sirlanka ? Kesho vyombo vya habari vitakuwa live...
MY TAKE; Tony254 Kila tukiwaambia kwamba deni lenu ni kubwa mlikua mkijilinganisha na Japan au USA, Sasa katika orodha ya nchi ambazo zipo kwenye hali mbaya, Japan na USA hazipo.
Jambo lingine...
Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara.
Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi...
William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano.
Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa...
Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi...
Job Title: Call Center Sales Representative (Remotely)
Location: Nairobi, Mombasa
Salary: 300 USD (based on meeting productive hours)
Job Type: Full-time, 6 days per week, 8 hours per day
Are you...
Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita...
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio...
Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa...
Wanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa...
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua...
Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye...
Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu.
Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud...
Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa.
===============...
https://www.JamiiForums.com.com/data/attachment-files/2023/03/562287_83715675466eb058c7249ee11015d84f.mp3
Jiji Scams
#inbox
I can only talk about this cause I've fully healed. Around 2018 I tried...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.