Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa...
1 Reactions
12 Replies
919 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya za Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa ametoa pole kwa waathiriwa nchini Kenya kufuatia madhara yaliyosababishwa na maandamano vikiwemo vifo na uharibifu wa mali...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kupitia ukurasa wake wa twitter amelalamikia kile alichokitaja kama kushambuliwa na maafisa wa polisi hasa katika eneo la Pipeline, Nairobi ambako msafara wake...
0 Reactions
4 Replies
583 Views
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na...
6 Reactions
98 Replies
5K Views
Watu 14 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya basi la Chuo Kikuu cha Pwani kugongana na matatu(daladala) eneo la Kayole, barabara ya Nakuru - Naivasha. Kwa mujibu wa ripoti basi hilo lilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok. Duru za kuaminika...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Wakazi wa mji wa Migori ulioko kaunti ya Migori wamefunga barabara ya kuelekea mpaka wa Kenya na Tanzania - ISEBANIA. Barabara hio pia hutumika na wasafiri wanaoelekea mji wa Kisii. Migori ni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Gavana wa kaunti ya Kisumu Professor Anyang' Nyong'o ametangaza kufanya wamuzi wa kusitisha maandamano dhidi ya serikali, na badala yake ametoa rai kwa wananchi wa kaunti hiyo kuungana na wenzao...
2 Reactions
3 Replies
676 Views
Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana. Wavamizi waliiba kondoo zaidi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio. Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi. Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Kwa wiki ya pili Sasa Jamhuri ya Kenya na nchi jirani yetu wamekuwa kwenye mvutano kati ya serikali na wananchi. Nasema ni wananchi vs the government kwa sababu tumeshuhudia polisi dhidi ya raia...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Afrika Moussa Faki ametoa rai kwa viongozi wa Kenya kutafuta mwafaka katika mzozo unaondelea baina ya serikali na upinzani. AU imeeleza kusikitishwa kwake na...
0 Reactions
2 Replies
370 Views
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Let us see tommorrow during the demostration if Raila will be arrested
0 Reactions
9 Replies
711 Views
Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Azimio la Umoja One amelaani uvamizi huo uliofanywa makundi ya Wahalifu walioiba na kuchinja baadhi ya mifugo ikiwemo Mbuzi na Kondoo waliokuwa ndani ya Shamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jumatatu tarehe 27 Machi 2023 imekuwa ni siku ya taharuki katika maeneo mengi nchini Kenya huku vuguvugu la maandamano linaloongozwa na Raila Odinga likizidi kurindima. Leo imekuwa ni siku ya...
1 Reactions
2 Replies
758 Views
Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Hali ni tete muda huu katika mitaa ya Kibera baada ya makundi mawili yaishio eneo hilo kuzozana juu ya maandamano yaliyoshuhudiwa mchana kutwa jijini Nairobi. Kikundi kimoja kinasadikiwa...
2 Reactions
5 Replies
665 Views
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, kupitia ukurasa wake wa twitter amethibitisha kutuma Zimamoto kwenda kudhibiti hali eneo la Kibra, ambapo moto mkubwa unazidi kuenea na kuteketeza...
1 Reactions
0 Replies
403 Views
Back
Top Bottom