Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea. Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi. Raila agenda ni zile zile: Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia...
14 Reactions
144 Replies
7K Views
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kwenye barabara ya kuelekea Ikulu ya Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi. Erick alidai kuwa alikuwa...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wamebaki vinywa wazi baada ya video kuvuja ikionesha jinsi DJ BROWNSKIN alimrekodi mkewe akijitoa uhai. Marehemu Sharon Njeri Mwangi anasikika akisema...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Hata kama wataniua, usiwaache wakaliua jina langu” – Dedan Kimathi Na Ahmed Rajab WAINGEREZA walipomtia kitanzi na kumnyonga Dedan Kimathi, mimi nilikuwa mdogo — sikuwa nimebalehe kimaumbile...
2 Reactions
1 Replies
989 Views
Mchekeshaji Erick Omondi anashikiliwa na polisi kwa kuongoza maandamano kati kati ya Jiji la Nairobi Leo, saa chache tu baada ya Upinzani kutangaza kuwa wamesitisha maandamano ili kupisha mchakato...
3 Reactions
6 Replies
585 Views
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) wa Kenya, Noordin Haji amefikia uamuzi wa kuondoa kesi hizo katika Mahakama ya Sheria pamoja na kuahidi kufuta zaidi ya kesi 200 dhidi ya Wafuasi wa Azimio...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi. Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mukumu imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya Wanafunzi wawili kufariki na wengine takriban 500 kuambukizwa Bacteria kutokana na chakula na maji machafu. Wiki...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ila Kenya ndugu zetu wana mambo mazito kweli kweli. Kuna askari kapigwa manati katika maandamano akafariki. Hebu angalia hiyo manati kwenye picha[emoji1787][emoji23], Mungu anisamehe. ===...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cruise ship changes course from Mombasa to Zanzibar and Dar es Salaam. A cruise ship that was destined for the port of Mombasa has changed its course to Tanzania in the face of the ongoing...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Mwenye kufahamu sababu tafadhali nijuzwe au kama Dstv wapo hapa wanijulishe. Asanteni.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022. Hazina imeeleza...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo...
2 Reactions
7 Replies
998 Views
Waandamanaji Jijini Kisumu wamewaacha watu wengi vinywa wazi baada ya tukio la hapo jana ambapo walivamia hifadhi ya maiti ya Kwee iliyoko ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Jaramogi Oginga Odinga...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Rais William Ruto amerejea nchini dakika chache zilizopita ambapo amepokelewa na Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Robert Kibochi pamoja na Inspekta Jenerali wa polisi...
2 Reactions
5 Replies
783 Views
Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura: Polisi wafurushwa: Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom