Mwaka 2013 Kamati ya Mambo ya Nje na Usalama ya Bunge la Kenya liliwata Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya (NIC)kupata maelezo ya kina juu ya tukio la Wastegate baada ya kunusa udhaifu wa...
Mkenya Hellen Obiri ameshinda mbio za masafa marefu za Boston Marathon baada ya kuandikisha muda wa 2:21:38.
Bingwa huyo wa olimpiki katika mbio za mita 5000 alishiriki marathon kwa mara kwanza...
Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center...
Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani.
Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila...
Tazama baadhi ya waislamu kutoka Kenya walivyonakili safari yao kutoka Nairobi kuelekea Dar Es Salaam, kuhudhuria mashindano makubwa ya Qur'an yaliyoandaliwa na Al Hikma Foundation.
Link[emoji1427]
Shule ya sekondari ya Noonkopir Girls iliyoko kaunti ya Narok imewatuma nyumbani wanafunzi wote baada ya kesi za usagaji kukithiri shuleni humo.
Kwa mujibu wa ripoti zilizowasilishwa kupitia...
Mbona nchi yenu iko vizuri, na kilichopelekea kukengeuka ni nini? Haya maandamano naona kama hayana maana yoyote kwa sababu sioni mahala mnapo gombania.
Mmeweka mambo jumla jumla hamtaki kutafuta...
Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia...
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU
Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia
Kwa yeyote mwenye...
Kiongozi wa Azimio nchini Kenya, Raila Odinga pamoja na viongozi wengine wa upinzani wametangaza kurejesha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi huku wakisema Serikali haijaonesha nia ya...
Msanii na mfanyabiashara Akothee hatimaye amefunga pingu za maisha na mpenzie Dennis 'omosh' Schweitzer.
Harusi hio kubwa iliyofanyika katika mgahawa wa Windsor Golf jijini Nairobi ilihudhuriwa...
Kampuni ya Kensalt Limited ambayo ndio mzalishaji mkubwa wa chumvi nchini Kenya imetangaza kuwa bei ya chumvi itaongezeka kwa Ksh 1000 kwenye Kila tani.
Sababu waliyotoa ni Kuongezeka kwa gharama...
Kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Utafiti wa Masuala ya Anga ya SpaceX, uamuzi wa kusitisha urushaji wa Chombo hicho kilichopewa jina la Taifa-1 kwaajili ya Uchunguzi wa Dunia, umesababishwa na...
Mambo!
Nipe kazi nikuletee bidhaa(kitu gani) hapo katika mji wako wa Nairobi hata Mombasa?
Nipe list ya vitu unavyotaka nami nitakupa list ya vitu ninavyotaka nipeleke Tanzania.
Tutumie hili...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa...
Polisi mjini Kisumu wanamshikilia mwenzao baada ya kurusha vitoa machozi ndani ya 'guest' alimokuwa mpenzie akila uroda na mwanaume mwengine.
Tukio hilo lilitokea eneo la Nyamasaria kaunti ya...
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani.
Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.