Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini (KAWU) kimesitisha mgomo wake ili kutoa mwanya wa maazimio ya utaratibu kuhusu mkwamo unaoendelea kati ya Chama cha Marubani wa Ndege za Kenya...
Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais.
Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili...
Muungano wa Vyama vinavyounda Serikali (UDA) umesema hauhusiki na pendekezo la mmoja wa Wabunge wake aliyetaka ukomo wa Mihula ya Urais uwe kwa umri wa Mgombea usiozidi miaka 75.
Marekebisho hayo...
Baadhi ya Watanzania mnakesha humu mkiponda na kutukana chombo cha Mkenya kisa wivu wa kijinga wa Kiafrika, huku Marekani anatazamia kurusha helikopta ya kwanza duniani kwenda sayari ya Mars...
Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo.
Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua...
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda...
Noma sana.
Wanakagua vitu vingi ikiwemo bajeti iliyotengwa kwa ajili ya elimu.
============
Educational growth in African countries ensures that better academic requirements can be implemented...
Kati ya Miili 233 inayotarajiwa kuzikwa katika kaburi moja Ndani ya Wiki 3 zijazo, kwa sababu hakuna aliyejitokeza kuidai Kwa ajili ya kuzikwa, 217 ni ya Watoto na 16 ya watu wazima.
Miili hiyo...
Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017.
Ruto amesema "Hatuhitaji...
Mbali na Tembo pia kuna Wanyamapori wengine wamekufa kati ya Februari hadi Oktoba 2022, ikiwa ni rekodi mbaya ndani ya miaka 40 iliyopita katika tasnia ya Utalii Nchini humo.
Licha ya kuwa mvua...
Baada ya marubani wa Kenya Airways (KQ) kufanya mgomo, wafanyakazi wengine kupitia chama chao cha KAWU wanatarajia kusitisha majukumu yao kuanzia Saa mbili usiku wa leo Novrmba 5, 2022.
Wamesema...
Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama...
It is time to put things to end now, lets give an account of progress for these two projects! No more time for mere yaps...
Yes a day of history for Uganda, for Tanzania, for East Africa, for...
Baada ya DRC kujiunga EAC, imebidi mataifa kwenye jumuiya yafanye maamuzi ya kuwasaidia.
========
Kenya's President William Ruto (left) on November 2, 2022 inspects some of vehicles to be used...
Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka.
Marubani wanataka warejeshewe mchango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.