Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai kuwa ana mpango wa kufuta ukomo wa mihula miwili ya Urais nchini humo na kuweka ukomo wa umri wa kuwania kiti cha urais kwa miaka 75.
Mjadala huo...
Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na...
Marekani inatoa zawadi ya Dola Milioni 10, sawa na Tsh. 23,300,000,000 kwa watu ambao watatoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Mahad Karate, Jehad Mostafa na Ahmed Diriye ambao ni viongozi wa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF...
MY TAKE: Kama Kuna kijana wa kitanzania bado yupo single chukua Binti huyo, hataki kurudi Kenya, usiangalie Sana hiyo sura ya mbuzi, ndivyo walivyo hao[emoji13][emoji13][emoji13]
Gavana wa Kaunti ya #Garissa, Nathif Jama ameamuru kuondolewa kwenye orodha ya malipo kwa zaidi ya majina 3,000 ya Wafanyakazi hewa yaliyogunduliwa kufuatia ukaguzi wa rasilimali watu
Ukaguzi huo...
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge.
Pia, Wabunge wamewatuhumu Mawaziri...
Daily Hansard - Westminster Hall
9 Oct 2013 : Column 61WH
Westminster Hall
Wednesday 9 October 2013
[Martin Caton in the Chair]
International Criminal Court (Kenya)
Motion made, and Question...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.
Amesema "Serikali inaamini katika...
Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge...
Wakenya niliwashauri mumchague Ruto ila ningependa tena kusema hatakuwa kiongozi mzuri kama nilivyokuwa namfikiria. Poleni.
Ameanza kuwanunua wapinzani wake jambo ambalo ni baya sana katika...
Bunge la Kenya limepitisha kiasi hicho cha fedha kwa Wanajeshi 1,000 kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni bajeti ya miezi 6.
Imeelezwa ruhusa hiyo ya Dola Milioni 37 imetolewa...
Kupitia ripot ya Tathmini ya Athari za Gharama ya Mpango wa Mabadiliko ya Kiuchumi wa Bottom-Up 2022 hadi 2027', ofisi ya bajeti inakadiria kutumia fedha hizo kutekeleza kikamilifu ilani ya Rais...
Chini ya Serikali ya Rais mpya #WilliamRuto, waendesha mashtaka wameondoa kesi kadhaa dhidi ya baadhi ya washirika wake kwa misingi sawa ya kesi hizo kukosa ushahidi
Kwa kuanzia, Novemba 10...
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6
Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa...
Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.