Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini...
Cash-strapped Nakumatt seeks financial rescue
PRINTRATING
A Nakumatt outlet at the Victoria Mall in Entebbe, Uganda. PHOTO | FILE
By MARK KEITH MUHUMUZA in Kampala
Posted Thursday, October 27...
Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita.
Hatua hii...
As President Ruto breaks ground of Nairobi Railway City today, I think the project deserves its own thread.
To be constructed on 425 acres of land owned by Kenya Railways, smack right in the...
In light of the Ministry of Defence 2019 White Paper, the Kenya Defence Forces are to be restructured in order to better carry out their mandate to protect the Republic of Kenya, her people, her...
Tanzania na Uganda ndio nchi pekee East Africa ambazo unaeza kua millionaire lakini bado wewe ni maskini
Mfano ukibadilisha 1 million ya Tanzania pale Namanga au Sirare unapewa 49k-45k ya Kenya...
Wakuu,
Mwanzo nilidharau siasa za nchi nyingine Afrika Mashariki, nikajiaminisha kuwa Kenya ndiyo wana siasa safi kuliko wengine, lakini nilipotea njia kabisa.
Kumbe Kenya inasiasa za Kiafrika...
Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta.
Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia...
Hotuba yake imenitia moyo.
Amenifurahisha alipozitaka nchi majirani kutoitumia ardhi ya Congo kama uwanja wa vita.
Kuna mapendekezo mengi ambayo yakifanyiwa kazi amani na ustawi utarejea Congo.
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na...
Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie...
Rais wa Kenya, William Ruto amemtaka kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kuacha kushawishi umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itakayoamua kuhusu makamishna hao ambao walipinga...
Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu.
Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za...
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....
Hao...
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imesema, Baraza la Mawaziri limekubali kuwa fedha zao za malipo ya mwezi mmoja, zitachangia katika hatua za serikali kusaidia Wakenya wanaokabiliwa na njaa kutokana na...
Punde tu baada ya Rais mpya wa Kenya bwana Ruto na mke wake Rachel kuinga Ikulu kumeonekana mfululizo wa viongozi wengi wa dini(hasa ya Ukristo) wakimiminika katika Ikulu hiyo hali ambayo imezua...
Portland Cement in trouble, banking on land sale payment
East African Portland Cement Company (EAPCC), once the region’s leading cement producer, is in trouble.
In the past two months, the firm...
Kenya Is Becoming a Global Hub of FinTech Innovation
A Safaricom employee displays the M-Pesa money transfer service on a smartphone inside a mobile phone care centre in Nairobi on November 22...
Wafanyabiashara wameilalamikia Serikali kwa kuweka Kodi kubwa kwenye uingizaji wa bidha hiyo hali inayosababisha uhaba mkubwa nchini kote
Kenya inahitaji Kondomu Milioni 455 kila mwaka wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.