Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kupitia Ukurasa wake Rasmi kwenye mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna amesema kuwa Rais mpya wa nchi hiyo William Ruto amemrejeshea hati yake ya kusafiria baada ya Serikali ya nchi hiyo...
0 Reactions
7 Replies
987 Views
Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Anatuletea habari za ndani kabisa jinsi bara la Ulaya lilivyo 2022 na viza ya Schengen Msafiri jasiri Marwa toka Kuria Kenya anatuonesha jinsi bara la ulaya lilivyo na mambo mengi ambayo ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
June 24, 2017 SportPesa to stop club funding from January The Sportpesa CEO has announced withdrawal of sponsorship to sports clubs from next year. This follows the government's decision to...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakenya jengeni nchi yenu, mtaendelea kunyanyaswa Sana na waatabu, huku Tanzania pia tutaanza kuwachoka Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
705 Views
Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika. Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine? Tuliwahi kumuweka mtu mmoja...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya...
1 Reactions
3 Replies
717 Views
French banks disavow Total’s EACOP plans Three French banks have committed not to provide project financing for the Total-led East African Crude Oil Pipeline (EACOP). By Ed Reed 22/04/2021, 4:04...
4 Reactions
174 Replies
11K Views
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka katika awamu iliyopita na kuwataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi...
1 Reactions
5 Replies
958 Views
Bandugu hamjambo? Hivi mwakumbuka suala la kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori, huku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia. Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika...
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo. Bei ya unga nchini Kenya...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao...
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Rais William Ruto ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanya kazi na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya serikali akisema hatamjumuisha mwanachama yeyote wa upinzani katika utawala wake. Mkuu huyo...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Hello guys, any Kenyan lady interested to have a friend here in Tanzania plz DM, just make sure you are residing in these region Dar, Dodoma or Morogoro so that could be easy for us to meet, I...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga. Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha: 1. Ruto anaondoa ruzuku...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…