Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi...
6 October 2022
Namanga, Kajiado
Kenya
KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA
WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la...
MY TAKE: Kwahiyo hata baada ya mahakama ya EA kusema kwamba wamasai hawana haki bado hawa wakenya bado wanaendeleza chuki zao kwa Tanzania?, hovyo Sana Hawa jamaa
Sent from my itel L5007 using...
Mwanje Faridah (42) na Cilian Awar Nyanzangu wanashikiliwa na mamlaka Jijini Mumbai, baada ya kupatikana na dawa zinazoaminika kuwa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati...
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.
Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya...
Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani).
Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna ametangaza kurejea Nchini Kenya usiku wa Octoba 25, 2022.
Amesema kuwa ataondoka Toronto Octoba 24, 2022 na itakuwa ni safari...
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo...
Billion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida...
Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo...
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali.
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya...
Najua wengi mnakumbuka kura za maruhani kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu sasa ukistajabu ya Pemba ambapo maruhani walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi.
Ghost...
Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy.
Wananchi...
Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM.
Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali...
====
Tanzania – with a population of over 60 million – only has 16 specialists
Dar es Salaam. Tanzania faces a 97-percent shortage of neurosurgeons specialists, prompting well-heeled patients to...
Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624).
Malipo hayo...
13 September 2022
Nairobi, Kenya
HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA
Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya...
Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.