Habari wakuu,
Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni
Je vipi Samia huko Kenya? Au...
Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao.
Kwa mujibu wa CAK...
Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto.
Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30...
Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania.
Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta...
Tazama picha zake hapo chini
Anaenda kwa jina la Bi Damaris Agnetta
Luteni Kanali wa Jeshi la Kenya
Hongereni sana wakinaMama duniani kote kwa uwezo mkubwa mnaozidi kuuonyesha kila siku...
Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?
Naona wazi kabisa huyu...
Makamu wa Rais wa Kenya mh Gachagua amesema Mfumo wa Elimu ya Vyuo Vikuu haujibu mahitaji ya Soko na umepitwa na Wakati
Gachagua anetaka Mfumo huo Ufumuliwe na kusukwa upya ili uendane na bali...
Kama kuna Mtu anamiliki kampuni inayoshugulika na mifumo ya tehama katika financial institution na ana licence Kwa Kenya kutoa hiyo huduma please ni-inbox, I am looking for you.
Kutokana Ripoti za hivi karibuni za Unyanyasaji wa Kijinsia, Kimwili na Kiakili wa Wafanyakazi Wahamiaji katika Mashariki ya Kati, Wabunge Wanawake Wamesema Serikali inapaswa kudhibiti Mashirika...
Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma amekamilisha Muswada unaotka kujitenga kwa Kaunti 40 kuunda Jamhuri ya watu wa Kenya
Anataka Kaunti hizo kujitenga na Kenya kwa kuwa zimekuwa zikibaguliwa na kila...
Kenya has failed to strike oil and gas deposits in the coastal strip that has for years been at the centre of an international border dispute with neighbouring Somalia.
Seismic surveys at Mlima-1...
Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mtandao wa maadili juu ya virusi vya UKIMWI nchini Kenya (KELIN), Kliniki za wagonjwa wa VVU zipo kwenye maeneo ya wazi katika hosptali mbalimbali jambo...
KURA, on Friday, September 30, deployed a team of engineers to Tanzania to benchmark how the neighbouring country rolled out the project that improved their urban mobility.
Led by engineer...
Baada ya tafukari ya muda mrefu nimefikia hitimisho William Samuoi Ruto mziki wake hauna majibu kwa hiyo ninamtangaza rasmi atakuwa mrithi wa Rais Uhuru Muigai Kenyatta.
Akina Raia, Musalia...
Kenya says the ICJ has no jurisdiction in Somalia sea dispute case
In a case filed by Somalia over the contended potentially oil-rich seabed off the country and neighbour, Kenya’s Indian Ocean...
Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili.
Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika...
MY TAKE: Nadhani Afrika inaanza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yake kwa kutumia Elimu ya sayansi badala ya Elimu ya vijiweni na imani za dini na uchawi, hii ni dalili nzuri kwa mustakabali wa...
Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office.
President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.