Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa Tangazo kwamba, tarehe 27-04-2022 Kuanzia mda wa saa nne Asubuhi litaanza MAJARIBIO ya TRENI ya Umeme nchini Tanzania kwa Kipande Cha Kwanza (Dar-Moro)...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya...
18 Reactions
88 Replies
7K Views
Rais-Mteule Ruto amewaambia Wabunge wa Kenya Kwanza japokuwa watakuwa na uwiano mzuri bungeni wasichukulie jambo hilo kimchezo mchezo badala yake wanatakiwa kuwa makini sana. Aliongeza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
831 Views
News Construction begins on huge chemical plant in Tanzania By cce news - April 25, 2018 0 98 Construction of what government officials say is one of the largest chemical plants in Africa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Mambo yanaenda.... The construction of the Dongo-Kundu bitch in Mombasa TWITTER ALI MANZU Mombasa residents are now counting months to the completion of a Ksh22 billion project that took off in...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka. Afadhali bongo...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Nilikuwa nafatilia hotuba ya Rais wetu mteule Dkt. William Ruto ambapo pamoja na mambo mengi aliyoyaongea na kuaddress watu wetu wa Kenya nilivutiwa sana na hotuba yake na nini atawafanyia Wakenya...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni...
14 Reactions
376 Replies
20K Views
Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani. Fedha hizo kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama...
4 Reactions
227 Replies
15K Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa. Katika majibu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa jins nilivyomuona na kwa muonekana wake na kauli zake tu Ni dhahiri shairi kuwa magufuli mwingine ameonekana Kenya. Siyo kwa kuongea kiswahil chake kama Cha Dr magufuli Hadi kucheka anacheka...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi. Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…