Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru...
Ubalozi, katika taarifa iliyotolewa kwenye Twitter, unasema kwamba umejitolea kikamilifu kulinda haki kamili za wakazi wanaoishi katika maeneo yake ya mataifa mbalimbali, na kwamba sheria...
Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais...
TOUGH QUESTIONS ASKED BY JUDGES AT THE SUPREME COURT THAT NEEDS 15MINS RESPONSE....👇👇
1. How many votes were stray and how were they distributed?
2. Did you have any instance where voters...
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa...
Bongo ndio maana anaweza simana Waziri na kusema Raia ndio walitaka Tozo na raia kweli wamepiga kimya, maelezo ya Mwigiru kwamba ni rao ndio wametaka tozo yangetoleaa hapo Kenya kwa sasa...
Nchi ya Kenya ndio wamevunja rekodi Afrika wanaibiwa kura za uchaguzi na mtu toka Venezuela
Waafrika tulizoea kuibiana sisi kwa sisi, Hawa Kenya mkoloni bado hajaondoka Kenya, Wavenezuela tena...
Shirika la Ndege la Kenya limetangaza kifo cha abiria katika ndege ya Shirika hilo, KQ002 iliyokuwa ikielekea Newyork, huku kukiwa hamna taarifa zaidi kuhusiana na chanzo cha kifo hicho
Huyu ni...
Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja...
Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama...
Kampuni iliotoa teknolojia ya kupigia kura kwa tume ya uchaguzi ya IEBC nchini Kenya imekataa kufungua seva za kituo kikuu cha kitaifa cha kuhesabia kura kutokana na masuala ya usalama
Katika...
Makamishna wanne waliopinga uchaguzi huo wanaitaka Mahakama ya Juu kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 9 kwa sababu hayakukidhi matakwa ya sheria na Katiba.
Makamu Mwenyekiti...
Wakili Willis Otieno alijibu maswali ya Mahakama ya Juu kuhusu iwapo kutakuwa na pengo iwapo mahakama ya juu itaamua kumfungulia mashtaka mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)...
Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi...
Shirika la ndege la Kenya (KQ) limeripoti kifo cha abiria katika ndege yake kutoka Nairobi-New York. Abiria, kulingana na shirika la ndege, alikufa katikati ya safari ya Alhamisi, Septemba 1...
Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu.
Pia Mahakama...
Katika yale Maboksi ambayo Azimio waliiomba Mahakama iiamuru IEBC kurudia kuhesabu kura
Hakuna Boksi hata moja lililokutwa na dosari!
.
Kura zilizopo kwenye Maboksi zinalingana na taarifa zilizopo...
Hali ya sintofahamu imezuka kuhusu iwapo Tume ya Uhuru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewezesha upatikanaji wa seva nane kama ilivyoagizwa na Mahakama ya Juu mnamo Jumanne, Agosti 30.
Katika siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.