Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kupitia majibu ya Pingamizi aliyowasilisha, Rais Mteule amesema Mahakama Kuu haitakuwa na Mamlaka ya kumtangaza Odinga kuwa Rais hata baada ya kujumlisha Kura na kuthibitisha Matokeo kama...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi...
4 Reactions
5 Replies
753 Views
Wakuu Kesi Ya kupinga uchaguzi iliyofunguliwa na Raila Ondinga na Wenzake Dhidi ya IEBC na Wenzake Itaanza Kusikilizwa Leo. . Taarifa iliyotolewa Kwa Wananchi wa Kenya na Msajili wa Mahakama juu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kamishna wa IEBC Irene Masit sasa anadai Mwenyekiti wa shirika hilo Wafula Chebukati pekee ndiye aliyefahamu kuwa raia watatu wa Venezuela walikuwa wakiingia nchini na nyenzo za kupigia kura Julai...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Safaricom Ethiopia has begun a large-scale customer pilot of its network in Dire Dawa, four months after it missed operational launch in the Horn of Africa nation. The pilot in Ethiopia’s second...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
MY TAKE: Miradi mingine ambayo imeshindikana kumalizika kutokana na kukosekana kwa pesa ni; 1) Galana Kulalu 2)SGR 3)Laptop per child 4)Green Field terminal 5)Five modern stadia 6)...
1 Reactions
0 Replies
409 Views
Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamishna wa IEBC Prof..abdi Yakub Guliye amewasilisha hati ya kiapo mbele ya Mahakama ya Juu akidai kuwa Naibu Mwenyekiti wa shirika hilo Juliana Cherera alitaka kura za Rais mteule William Ruto...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura Uchaguzi wa Ugavana...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza Agosti 29, 2022 kuwa tarehe mpya ya uchaguzi ulioahirishwa kutokana na sababu tofauti ikiwemo kukosekana kwa majina ya wagombea katika karatasi za...
1 Reactions
6 Replies
962 Views
Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi...
1 Reactions
0 Replies
531 Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Uchaguzi wa urais wa 2022 ulikumbwa na udanganyifu kabla ya Agosti 9 kupitia watu 21—wageni 19 na Wakenya wawili—walioweza kupata teknolojia ya shirika la uchaguzi, mgombea urais wa Azimio Raila...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom