Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
MY TAKE: Karibuni Sana majirani, mjisikie mpo Nyumbani Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeshangaa Sana wakenya milioni 12 Tu ndo wamepiga Kura baada ya milioni 22 kujiandikisha ..what happened?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Msichana Afa Maji Akiogelea Kwenye Swimming Pool Huku Akijirekodi Live Kwenye Facebook Hellen Wendy raia wa Kenya na nesi kwa taaluma aliyekua akiishi nchini Canada amefariki dunia jana kwenye...
6 Reactions
83 Replies
9K Views
Watoto wawili Wafariki, Watu 18 Wamelazwa Hospitalini Baada ya Kula asali pori.Huko Tharaka Watoto wawili wamefariki baada ya kula asali ya mwituni katika kaunti ya Tharaka Nithi. Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wafahamu majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya Iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi, itasikilizwa na majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Zoezi la uchaguzi nchini Kenya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya. Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda...
1 Reactions
8 Replies
968 Views
Onyo hilo linatokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iliyobaini kuwa takriban 50% ya sampuli za Maziwa zilizokusanywa kutoka kaunti za Nakuru, Laikipia na...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Why should Sylvia Mulinge be rejected as Vodacom's Managing Director Towards our agenda 2025, interests for Tanzania should come ahead of anything as far as regional strategic decisions are...
70 Reactions
722 Replies
77K Views
Kuna watu na mataifa yanayoizunguka Kenya wanapenda sana kujijaza upepo na kujifariji ili mambo yanavyofanyika na hali za nchini mwao yaonekane mazuri. Siasa na Ukabila Siasa za Kenya sio za...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
My Question; why black people all over the world associate themselves to "Socialist parties and not Capitalist parties? Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana Upande wa mashtaka umeomba...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Guys Is there any election Raila has ever accepted defeat? 1997 2007 2013 2017 and now 2022 are all shambolic and rigged according to him. . He chased Kivuitu, Isaac Hassan, Chiloba and now he is...
0 Reactions
6 Replies
692 Views
Balozi wa Uingereza nchini humo, Jane Marriott amekanusha madai yaliyoenea katika mitandao ya kijamii kwamba aliishinikiza Tume ya Uchaguzi kumtangaza William Ruto kuwa Rais mteule licha ya...
1 Reactions
6 Replies
917 Views
Back
Top Bottom