Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Julie Soweto, wakili katika timu ya wanasheria wa kiongozi wa Azimio Raila Odinga, amedai kuwa kura 4,463 zilitolewa kutoka kwa mteja wake na kuongezwa kwa Rais mteule William Ruto katika Kaunti...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya Juu ilisema Alhamisi kwamba IEBC ilitii maagizo ya kuagiza tume hiyo kuruhusu timu ya mlalamishi wa urais Raila Odinga kupata seva zake. Hii ilikuwa baada ya Philip Murgor, wakili...
1 Reactions
0 Replies
721 Views
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya malalamiko ya uchaguzi wa urais siku ya Jumatano, Orengo aliibua kitendawili cha kihisabati kwa jinsi idadi ya jumla ya wapigakura ilivyorekodiwa na kutangazwa...
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Watu wawili wanaoshukiwa kuwa majambazi walifariki katika ajali mbaya ya barabarani eneo la Tiwi Sokoni kaunti ya Kwale Jumatano jioni. .inaarifiwa kuwa wawili hao walifariki papo hapo baada ya...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Nasubiri Barua Yangu ya Kufukuzwa Kazi,' Justina Azungumza Huku Wajackoyah Akizindua Maafisa Wapya wa Chama Chama chaRoots Cha Kenya, kinachoongozwa na Prof. George Wajackoyah kimeteua maafisa...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Nimesikia hbr kutoka kwa majirani wenzetu kenya kuwa vijana wawili kutoka Venezuela wamekamtwa kwa kuingia kwenye saver za tume ya uchaguzi IEBC na kuiba kura za odinga HAYO wamelezwa na mawakili...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia! Mungu wa mbinguni awabariki. Updates...
14 Reactions
51 Replies
4K Views
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Akitolea ufafanuzi kuhusu hatua hiyo, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu amesema Mahakama haitapokea maombi mengine, lakini Rais Mteule Ruto ataruhusiwa kujibu hati za kiapo zilizowasilishwa na...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya...
1 Reactions
4 Replies
954 Views
Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Uyu mtu pesa anayo ngapi? Kwenye ngome za Rao alihakikisha wasimamizi ni wafuasi wake na aliwaachia ukwasi wa kutosha Chebukati akamwambisha bilions of money Sasa amegeukia majaji amepatia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom