Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kenya’s debt load closed the 2021-2022 fiscal year at Ksh.8.6 trillion with public debt having grown by 11.5 per cent year over year from Ksh.7.7 trillion in June 2021. New provisional data from...
2 Reactions
2 Replies
638 Views
Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g.. Soma hapa zaidi: Today and...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura Hungeremi sana kwa kuifanya...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATOA RIPOTI YA UCHAGUZI Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu katika eneo la Pwani, uchaguzi uliofanyika siku chache...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura Omondi amesema Ruto alijishusha kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni majirani kwa msiba wa Rais mstaafu Mwai Kibaki. Lakini labda mnijuze/ mnifunze huu utaratibu wa kumweka maiti hasa kiongozi mkubwa aliyefariki kwa style hii mmeutoa wapi? Binafsi naona...
10 Reactions
94 Replies
8K Views
Looking at the momentum of how things are unfolding during the campaign also in various social media, It looks like wananchi are with Kenya Kwanza. Personally, I am not Kenyan, but i have...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Kurasa za mtandaoni za Facebook na vishikizo vya Twitter vinavyotumia jina na picha ya makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera ni bandia.Kurasa za Facebook...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya. Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto. 1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili. Kwenye...
11 Reactions
116 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Msemaji wa kampeni za urais wa Azimio la Umoja Makau Mutua ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi katika usimamizi wa shughuli ya uchaguzi. Mutua amesema Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka inafaa...
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10. Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Wengi wetu tunafahamu kuwa Kenya ipo katika vuguvugu la uchaguzi mkuu utakao fanyika tarehe 9 August mwaka huu (2022). Katika harakati hizi za uchaguzi ni wazi kuwa mchuano ni mkali kati ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania Kwa mfano CHADEMA ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…