Kiukweli Nyerere si wa kumbeza licha ya yeye kuwa mwanadamu aliekosea mambo machache likiwemo hili la muungano mithiri ya tembo kuungana na sungura wawe wanakula sawa.
Kiukweli siasa za Africa...
'Kama Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi IEBC pamoja na Makamishina Wanne wa Tume hatukubaliani na Matokeo ya Uchaguzi kwani hatujashirikishwa katika hatua Muhimu ya Uhakiki wa Nyaraka na...
Kipaumbele cha kwanza mahakama ziwezeshwe ili kesi za mafisadi zifanyiwe kazi haraka Kenya kwanza, wanyonge wainuliwe.
DCI akimaanisha Mkurugenzi wa upelelezi nchini Kenya awe independent afanye...
Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura.
Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari...
Mtaalamu mmoja wa mambo ya Uchaguzi amenieleza kuwa Rais wa Kenya huamuliwa kwa kura 1 tu kwenye Uchaguzi nyingine zote ni mbwembwe tu
Rais mteule anapaswa kupata 50%+1 na hiyo 1 ndio huamua kwa...
Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata...
Huyu mtoto anaitwa Cherono William Samoei Ruto. Alizaliwa huko Machakos lakini akatupwa akiwa na siku moja tu. Haijulikani sababu ya kutupwa, huenda ni ugumu wa maisha kwa wazazi. Alipotupwa...
Uchambuzi kutoka akili kubwa. Changia hoja na si matusi. Challenge hoja zake, then JF itakuwa na Great Thinkers.
Msikilize
CC Tundu Lisu; Mbowe Freeman, Godbless Lema
Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi...
Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja...
Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, Kenya tangu enzi KANU hakuna chama cha upinzani kilichofanikiwa kushinda uchaguzi.
Kidemokrasia Kenya na Tanzania hatuna tofauti. Katika nchi zote mbili...
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo...
Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto...
Kenya’s president-elect William Ruto has welcomed criticism from the media as he promises an administration that grants freedom of the press under his presidency.
Speaking on Monday night in his...
09 Agosti 2022
Kakamega, Kenya
MGOMBEA URAIS PROF. WAJACKOYAH ASHINDWA KUPIGA KURA, SABABU VIFAA VYA KURA KUSHINDWA KUFANYA KAZI
Mgombea urais Prof. George Wajackoyah ahuzunishwa kushindwa...
Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti...
Hakimu wa Mahakama mjini Bungoma, Hakimu Charles Mutai ameruhusu polisi kumshikilia Didmus Barasa kwa siku 10 ili kusubiri Uchunguzi wa kesi ya mauaji inayomkabili.
Mbunge huyo wa Kimilili...
William Samoei Rutto ameshinda urais. Ushindi wake ni pigo kubwa kwa Chato Dynasty ambao walidhani kwamba Raila angeshinda, basi angetoa support kwa mtu ambaye angegombea urais kwa kundi la JPM...