Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Nianze kwa kuwapongeza ndugu zetu wakenya kwa kumpata Rais aliyetokana na uchaguzi ulio huru, haki na uwazi ambao pengine siyo somo kwa waafrika tu bali pia hata katika baadhi ya mataifa ya mabara...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
12 Agosti 2022 Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe? cc: Halima Mdee na wenzake
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
1 Reactions
7 Replies
753 Views
SECOND SCHEDULE [Section 8, Act No. 1 of 2017, s. 31, Act No. 34 of 2017, s. 4.] PROVISIONS AS TO THE CONDUCT OF THE BUSINESS AND AFFAIRS OF THE COMMISSION 7. Unless a unanimous decision is...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election. He was speaking on Monday...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza. Odinga amepata kura 39% wakati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Azimio la Umoja – One Kenya Alliance presidential candidate Raila Odinga will accept defeat if he loses in the August general elections. Speaking during a joint media interview on Tuesday, Raila...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
6 Reactions
134 Replies
11K Views
Ukumbimi hali ni shwari na Ulinzi umeimarishwa zaidi. Unafanyika usafi pale katikati palipokuwa panafanyika zoezi la uhakiki Watu wote wametulia wakisubiri matokeo Kenya ni moja Tukio liko...
5 Reactions
132 Replies
9K Views
MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti) 2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya...
2 Reactions
1 Replies
584 Views
Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani Mwenyekiti wa...
1 Reactions
1 Replies
770 Views
Uchaguzi ulienda vizuri kwa amani na kwa wakati nchi nzima,sasa sijui nini kilitokea kukatokea sintofahamu. Ghafla wakasimamisha utangazaji na kuanza zoezi kuhakiki !mara wazungukie huku mara...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
William Ruto, ushindi wake una mambo mengi sana na kubwa kuliko yote ni kuwastafisha siasa Moi Family Odinga Famiily na Kenyata Fammily. Endapo Odinga angeshinda alitaka afufue tena BBI ili...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
William Ruto (UDA) 50.49% 7,176,121 Votes Raila Odinga (AZIMIO) 48.85% 6,942,930 Votes George Wajackoyah (RPK) 0.44% 61,969 Votes David Waihiga (AGANO) 0.23% 31,987 Votes ==============...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajackoyah: We're Confident We'll Win Presidential Election Roots Party presidential candidate Prof. George Wajackoyah during his manifesto launch at KICC. PHOTO | COURTESY Preliminary results...
1 Reactions
5 Replies
720 Views
Back
Top Bottom