Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna...
All data suggest Azimio coalition has majority control in parliament. If Dr. William Ruto wins the presidency how will he manage to push his agenda in parliament, if Azimio stands on a zero...
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike...
Nairobi. Tanzania’s biggest gas dealer Taifa Gas has been licensed to set up gas plant and storage facilities at a site in Dongo Kundu near the port of Mombasa to supply LPG for domestic...
Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi umekanusha taarifa inayodai Rais wa Marekani Joe Biden alimpongeza Mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 5.
Taarifa hiyo pia...
Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha
Waziri wa Kilimo, Peter Munya...
Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefanya nijue umuhimu wa utawala wa sheria na Katiba hasa kwenye masuala muhimu ya kusimamia haki za msingi za wananchi.
1. Hakuna Kupita bila Kupingwa
Kenya imeonesha...
Ni David Mwaure Walhiga mgombea Urais wa Kenya akiri kushindwa hata hivyo amewataka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki na hatimaye watangaze mshindi
Source Citizen tv
Wakenya wameonesha wasiwasi wao wanaposubiri Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutangaza mshindi wa Kura za Urais huku wakieleza kutoridhishwa na mchakato wa uhakiki tangu ulipoanza
Baadhi...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua
Tume imesema kwasasa inafanyia kazi...
Baraza Kuu la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuharakisha kujumlisha Kura za Urais ili kuepusha hisia mbaya zinazoweza kuzua migogoro.
Katika...
Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa...
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.
Mataifa ya Afrika mna mengi ya...
Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very...
Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi...
Salaam Wakuu,
Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Twitter imeanzisha kipengele cha kuripoti matokeo ya Uchaguzi Mkuu yasiyo rasmi yanayowekwa na wafuasi na kambi mbili za wagombea Urais Kenya
Taarifa itaonekana chini ya matokeo ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.