Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewatoa hofu wananchi juu ya uwepo taarifa kwamba mifumo yake ya Kura imedukuliwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa IEBC, Marjan Hussein Marjan amesema taarifa...
Afisi ya Rais
Harambee House
Nairobi, Kenya
Mkuu wa Utumishi wa Umma, kufuatia uchaguzi mkuu anatoa mwongozo unaoainishwa kikatiba jinsi mambo ya kukabidhiana ofisi ya Urais mara IEBC...
Rais mstaafu mzee Kikwete amefurahishwa na Ushindi wa baadhi ya wagombea binafsi wa nafasi za juu katika Uchaguzi wa Kenya
Vyama vya siasa vinaweza kuwanyima fursa watu wanaohitajika na kupendwa...
1. Hakuna mgombea aliyezuiliwa kuchukua fomu za uchaguzi kama katimiza vigezo.
2. Hakuna mgombea aliyekosea kujaza fomu.
3. Hakuna Afisa uchaguzi aliejifungia ndani au kukimbia na kutelekeza...
Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la...
Aliyekuwa Diwani wa Wadi ya Sirikwa (MCA) Alfred Mutai amenyakua kiti cha ubunge cha Kuresoi Kaskazini katika uchaguzi uliofanyika Jumanne, Agosti 9.
Mutai, ambaye alikuwa akiwania Ubunge kwa...
Utaratibu wa upatikinaji wa Viti maalum Ubunge vya Wanawake Kenya upoje?
Wadau, Katiba ya Kenya na sheria ya uchaguzi imeweka utaratibu upi wa upatikanaji wa wagombea wa viti maalum wanawake.
Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia...
Kwa matokeo ambayo yametangazwa hadi kufikia leo, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amepata Wabunge 134 ambapo 88 wanatoka chama chake ODM.
Kwa upande wa Dr. Ruto wa United Democratic...
Habari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya...
Polisi nchini Afrika Kusini wamewatia mbaroni watu 20 wanaoshukiwa kuanzisha machafuko ya Julai 2021 yaliyopinga kukamatwa kwa Rais Mstaafu Jacob Zuma.
Takriban watu 350 waliuawa kwenye machafuko...
Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient.
Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura...
Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000.
Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa...
Uhuru wa kila mtu kutoa matokeo ya uchaguzi umedhihirisha aibu na fedheha kwa wapenda Demokrasia na wachambuzi wa masuala ya Siasa barani Afrika na Duniani kote. Tume ya Uchaguzi ndio inapaswa...
Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8.
William Ruto kura si zaidi ya milioni 6
Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi.
Lets wait and see!
Mgombea Urais kupitia UDA, William Ruto anaongoza kwa idadi ya Kura dhidi ya Mgombea wa Azimio, Raila Odinga kwa mujibu wa takwimu za Nation Media. Hadi kufikia saa 12:00 jioni leo, Ruto alikua na...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba...
Nilichojifunza uchaguzi wa Kenya wakikuyu wanahusudu sana ufisadi na ni wakabila wakubwa.
Licha ya mgombea mwenza wa Ruto kuwa ana shutuma ya ufisadi na Ruto mwenyewe kuwa na shutuma za ufisadi...
Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.