Habari za majukumu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojielea, ninahitaji kuwa na mke ilituweze kusaidiana kujenga familia bora.
Sifa za mtu ninayemtafuta:
- Awe wife material (mchapa kazi n.k)...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea mana sipendi kuwa na msichana mwenye mambo ya utoto utoto.
2.Rangi yeyote iwe nyeusi au nyeupe ila sio weupe...
Habari zenu,
Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa...
Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa...
Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta...
Habari taifa la Mungu.
Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na...
Kama title inavyojieleza,
Sifa: Mchapakazi, mrembo/mzuri, mkristo, umri kuanzia miaka 18-20, si mrefu sana au mfupi sana awe wa kati, awe mtanzania.
Sifa zangu: Umri miaka 25, urefu wa kati...
Some of my characteristics
1. I am between 30 to 40 years.
2. A man, not a boy and well matured.
3.Roman catholic by religion.
4. Employed and woking on self project as an entrepreneur
5...
Habarini za usiku huu, naleta tangazo hili usiku huu baada ya majadiliano marefu na mhusika... Anayetafuta mchumba sio mimi bali ni mwanaJF mwenzetu nami nipo hapa kama mwakilishi
Nimejiridhisha...
Mimi ni kijana wa kitanzania niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae
Nimeishia kidato cha nne mwaka 2012 nina miaka 25.
Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia...
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko.
SIFA ZANGU
Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
Umri: Miaka 32
Urefu: 175 cm
Kabila...
Nina miaka 32
mkristo
Muajiriwa
Elimu Degree
Sio mrefu sio mfupi
Maji ya kunde.
Mwanamke anayehitajika;
Miaka chini ya 27
Awe mkristo
Elimu, diploma au degree
Mweupe
Mwili wa kawaida
Kama una...
Kwa majina ya humu jamvini ni wolfpack. Dini yangu ni mkristo na naishi Arusha mjini. Natafuta rafiki wa kike(mchumba) mwenye umri kwanzia 22 mpaka 26 mwenye vigezo hivi,
1. Awe mweusi au maji ya...
Hi jf.
Nimepata mualiko kutoka Kwa classmate wangu anaoa amenitumia tiketi tangu juzi amesisitiza nifike kwenye harusi yake.
Baada ya harusi nitamsisitiza angalau nikaone hilo kabila...
Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Je, ni kweli kwamba love connect inatumika kama ilivyokusudiwa na waandaaji wa hii forum. Kwa sababu...
Naitwa Ally niko Tabora natafuta rafiki wa kuchat nae then tuwe wachumba ila awe mvulivu shida na njaa, umri kuanzia 18 ~26.
Alietayari namba hiyo 0743850941 kwa eirtel no 0692658141
Natafuta mwanamke wa kufunga naye pingu za maisha kwa ndoa halali kutoka kanisani, mimi ni mwanaume niliekamili.
Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na...