-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni...
KW jin naitw jumer nip Dodoma ninaumri wa miak 21 natafut wa din yoyt ile awe wa rang yoyt ile pia awe na umri kuanzia miak18-28 asiwe mnen awe mwembab na mweny Shep nzur awe natabia nzr2 anichek...
Habarini za kazi wana JamiiForums,
Bila kupoteza muda naomba kutiririka moja kwa moja, hoja yangu iliyopelekea kuandaa uzi huu.
Kwanza nianze kwa kusema nawapenda sana tena toka moyoni...
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami...
Baada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani.
08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa...
Wadau wote wa JF natumai ni wazima wa afya,
Binafsi kila mtu anayo malengo yake aliyojiwekea na muda wa kuyatimiza. Malengo yangu yametimia na sasa nahitaji mke ili kujenga familia imara yenye...
Habari zenu wana JamiiForums,
Kitengo cha LoveConnect? Nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni Bachelor degree, mimeajiriwa Serikalini.
Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo
Awe na umri wa miaka 26...
Habari za muda huu kaka, dada na wadogo zangu?
Najiokeza kwenu leo nikiwa serious na hitaji langu likiwa serious pia. Natafuta/nahitaji mwanamke/msichana ambaye hajawahi fika au kufikishwa...
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28.
Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira.
Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu...
Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia, natafuta mume mcha Mungu hata awe doctor au yeyote. Mimi najihusisha na mambo ya kisheria, mimi ni mchaga mrefu saizi ya kati, umri wangu ni miaka...
Hodi Jamvini, jamani mwenzenu niko hoi,pamoja na kashfa,visa na matukio ya hapa na pale kuhusu Wema Sepetu,mwenzenu binti huyu ananitia wazimu,sijui nielezee vipi,lakini naamini mnanielewa,nadhani...
Habari JF,
Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia.
Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.