Habari zenu wana jf mie ni mkazi wa kunduchi nimekuja hapa kutafta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo sja target umri kwa sababu wazo jema halina umri hivo bas karibuni sana wenye nia...
Hello habari zenu
Sitazunguka sana naenda moja kwa moja kwenye point
Kwa walio serious tu plz
Mi ni kijana wa miaka zaid ya 30
Ninaishi Netherlands muda huu
Nimetamani sana kuoa mtanzania lakin...
Niende moja kwa moja kwenye point!
Ni wakati muafaka sasa baada ya kupitia changamoto nyingi sana kwenye kumpata mtu sahihi wa kupanga nae malengo aje kua mke siku za usoni, leo nakuja mbele...
Mke mwema anahitajika sana. Awe na sifa hizi
1. Mkristo au mwislam aliyetari kuwa mkristo preferably mpentekoste.
2. Elimu sio kigezo ila awe na akili nyingi za maisha.
3. Awe ni mwanamke mwenye...
Habari wadau
Kuna mwanamke ambae nilikiwa nae kwenye mahusiano baadae tukatengana baadae akaniambia ana mimba yangu so kuanzia analea mimba had leo mtoto amezaliwa hatuko kwenye mahusiano ya...
Naitwa David nipo Kahama Shinyanga, natafuta mwanamke wa kuoa awe maji ya kunde na awe tayari kuoana na kuanza kukuza uchumi nilio nao.Awe Tabora Shinyanga,mwanza,kigoma,singida.anipate kwa...
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini...
Siku za hivi karibuni mke wangu amekuwa akionyesha tabia za kutojali,mfano,unaweza ukawa kazini ukamtext," hi baby" akajibu "P"
Ukiendelea anapiga kimya hajibu sms,.
Kwa kuwa muda wake wa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto...
Awe muislam au alie tayari kuwa muislam, umri miaka 28-32, awe tayari kwa ndoa kwa aliye serious, aliye na nia na vingine nilivyotaja aje pm, coz sitazungumza chochote zaidi kwenye thread siku njema.
Mimi ni mwanaume halisi najitokeza kwa mara ya kwanza kumsaka Rabeca na nukuu ukisoma Mwanzo 24:44,mwanzo 24:61-67 na amini kabisa mke bora anatoka kwa bwana.umri wangu ni miaka 34,nina elimu ya...
Habari ya uzima wanaJF...Kama tittle ilivyo natafuta mpenzi wa kike ambaye tutawezakushare mambo mbalimbali including serious matters abt life...
Umri itapendeza awe from 20 hadi 25
Kipnd nasoma o level nilipata mtoto mmoja mzur huyo hatar.. ila alikuwa mlokole.
Story zetu bas ni za dini tu.. hakuna bla blah kipndi hicho nasoma morogoro shule moja inaitwa kigurunyembe...
Natafuta mwanamke ambae Mungu akipenda aje kua mke wangu
Sifa
1.Awe na uhitaji wa kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa
2.umri 20-27yrs
3.Asiwe na watoto
4.Awe mkristo
Sifa zangu
1.Mkristo...
Habari wanajamvi,
-Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
-Mfanyabiashara
Natafuta mwanamke wa kuishi nae na kuniletea watoto duniani.
Ninapenda sana watoto.
Mwanamke awe na utayari wa kua...
Sio mimi bali mshikaji wangu.
Iko hv:
Jamaa yangu alioa. Akazaa naye watoto wawili, lakini amekuwa hatulii kwenye ndoa anahangaika sana na wanaume. Nadhani ni kwa sababu alimuoa akiwa mdogo sana...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni kijana wa kiume rijali kabisa mwenye umri wa miaka 36. Nina elimu nzuri, mcha Mungu, nimeajiriwa, na nina ndoto za maisha vile vile. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.