Hi, natafuta rafiki wa kike umri kuanzia 24-37,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila,msomi hata ambaye simsomi yeyote anakaribishwa.
Awe ni mtu anaye jituma katika kupambana na umasikini Aliye tyr...
Sizunguki zunguki
Nataka mke wa kuoa ili nyumbani kwetu tu talk openly, we have to dare to talk (jf slogan)
Sifa
Sifa zangu
A. Kipato cha kati 1000 USD to 2000 USD per month
B. Umri wangu 30...
Za jioni wapendwa,
Baada ya kuweka uzi wangu huu >> Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa hatimaye nimepata niliyekuwa namtaka.
Asanteni kwa wote walioshiriki ila nimeshapata na ndio...
Jina langu ni Amour.....mimi ni boy aged 18 years, Natafuta friends wa kuchat nao all around teen age so if you find this interesting call me or whatsapp me by 0682557939 And by the way nipo dar...
Natafuta mchumba nina umri wa miaka 28. Nafanya kazi nina mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Nahitaji mume ambae alie seriously na maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri...
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private...
Habari wanajamii.
Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa.
Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye...
Hi,mimi ni mwanaume najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke ambaye nitaishi naye siku zote,mwenye umri wa miaka 23-28,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea,dini mkristu,kabila lolote,awe...
Habari,
Nafuta wife material mwenye mapenzi ya dhati, kwa aliye serious ani pm.
Wasifu wangu
Sina mtoto
Sivuti sigara
Nimejiajiri mwenyewe ili mradi mkono mkono uingie kinywani
Elimu chuo kikuu...
Ni tumaini langu wote wazima,
Nipo hapa kumtafuta Soul mate wa maisha ambaye ana uhitaji wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila mtu na mtu wake kwa muda...
Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania.
Wasifu wangu:_
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-Umri 27-36 yrs ol...
Hi!
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.
Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa...
Natumai mna wakati mwema wapendwa!
Mimi ni binti mwenye miaka 25, ninaishi na VVU. Nimechoka na hali ya upweke nahitaji mwenza wa kuishi nae as a husband and wife kwani naamini kuwa na VVU...
Mi ni mwanaume Wa miaka 30 naishi singida,natafuta make serious,mwenye sifa zifuatazo
1.umri miaka 20--28
2.mwenye hofu ya mungu
3.elimu angalau kidato cha NNE
4 mkiristo
5. Asiwe mweusi.
Km upo...
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.