Habarini wadau!
Natumai mu wazima wa afya.
Hakika sijabahatika kuwa na furaha katika hizi anga za mapenzi, kila napogusa naishia kutokuwa na furaha katika mapenzi.
Kila niliyekuwa naye tunaishia...
Wapendwa,
Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano. Lengo ni urafiki ambao natamani uende hadi katika ndoa. Hata hivyo kama hautafikia ndoa basi nitaelewa tu. Lakini mimi niko tayari kuoa...
Habari zenu,
Naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike ambaye baadae anaweza kuwa mke wangu.
WASIFU WANGU
-Nina umri wa miaka 29.
-Nina shahada ya uongozi wa Mauzo na Masoko kutoka C.B.E...
Mambo,
Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia...
Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi...
NAENDA KUOA PEMBA.
Naenda kuoa Pemba, msichana wa Kojani
Yule anaejipamba, kwa mitandio kitwani
Aongea kwa kutamba, na lafudhi ya kipwani
Naenda kuoa Pemba, alo na njema tabia.
Kojani nikimkosa...
habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form...
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama...
Naitwa Luqman kutoka Kenya nko na 28yrs na natafuta mchumba umri wake uwe chini ya 28yrs, awe atleast amefika secondary kidato cha sita Tanzania. Rangi na kimo chochote sichagui wala dini pia. Mi...
Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
Natumai wote wazima na poleni pia kwa majukumu yenu.
Nimejitokeza rasmi kutangaza Kwenu kuwa natafuta Rafiki wa Kike ambaye tukiridhiana basi atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi.
Wasifu...
Mimi ni mwanaume, mwenye umri 33,mkristu,nina elimu Ya kawaida, nina Kazi tyr, muonekano Wangu ni wakawaida. Natafuta mwanamke wakuoa mwenye umri 20-28 ,anaye jitambua, na mwenye nia ya Kweli...
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac...
Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.