Amani ya Mola iwe juu yenu wote.
Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta...
Kuna hali hua inanitokea na hii ni tangu nakua nimegundua hili,
Inapotokea ninapo onana na jinsia ya kike kwa mara ya kwanza alafu akanivutia sana, sasa kadri ninavyozidi kumuona na hata pengine...
Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1.
Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo...
Habarini wakuu...
Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote)
Kama kuna mtu mwenye tatizo hili...
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na...
Well mimi ni mwanaume Umri 28
Mfanyakazi Kampuni binafsi
Makazi Dar-Mbezi kimara
Elimu Bachelor degree (Bsc)
Mrefu wastani
Maji ya kunde
Natafuta msichana mwenye Sifa zifuatazo:
Mcheshi
Mcha...
Habari zenu wanaume?
Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama...
Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.
Usiwe umepeana talaka na mkeo.
Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe...
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao.
Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online.
Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa...
habari za mida wadau!
2 weeks ago niliandika juu ya hitaji langu la kupata mwenzangu wa kula nae maisha nikaweka na wajihi wake anatakiwa awe sasa kibembe kimenikuta juu ya kutafutwa na mke wa...
Kuna makundi mawili Ya wanawake na makundi mawili Ya wanaume
Makundi Ya wanaume
1.aina Ya kwanza Ya mwanaume ni yule mwenye homoni tupu za kiume
Hawa tabia zao huwa na mfume dume,na mara nyingi...
Katika dunia hii iliyojaa rabsha,karaha na madhila lukuki, Mwenyezi MUNGU alituruzuku Mahaba ili yatuliwaze.
Ewe binti mrembo,uliyeumbwa ukaumbika,mkazi wa dar es salaam,ningependa Kuwa nawe...
Umri Wangu Miaka 23
Makazi Dar es Salaam..
Other Details Utazifahamu Once Tutakapo Wasiliana.Ukipendezewa Zaidi Kunifahamu PM Ipowazi Tutazungumza Kinagaubaga.
Wasifu
Mimi nikijana wa miaka 25-30 (Dume/rijali)
Mkazi wa Dar es salaam
Elimu ni shahada ya usimamizi wa fedha na biashara
Natafuta mwenza wa kujifunza nae mambo mbali mbali ya mahusiano kama...
Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini
wala kabila
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu..
Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,..
Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi).
Kwa alie tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.