Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wana jf niko dodoma hapa kuhudhuria vikao vya bunge kama Kuna mwana jf yyte wa jukwaa hili basi tuonane tujuane kidogo kwa Sasa Niko hapa Pestana pub mpaka usiku mkubwa so ukija hapa ni inbox
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu, Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa...
16 Reactions
191 Replies
15K Views
Habari zenu humu ndani, natumai wote ni wazima. Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nahitaji mke kutoka humu au nje ya humu jf. Nimekuja humu kwa kuwa nina amini hili ni jukwaa la great thinkers hivyo...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Uwe na umri wa miaka 25-30 Elimu:diploma au degree Makazi:popote Tanzania Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME. Kazi:kama huna ajira hakuna shida Mzuri na mwenye umbo zuri. MIMI NILIVYO...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi Dar-Es-Salaam kazi yangu MissionTown Natafuta mpenzi mwanamke hawe na Umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 hawe anaishi Dar-Es-Salaam hawe na kazi asiwe na kazi ni...
0 Reactions
11 Replies
998 Views
Habari ? Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mchumba WA kike , awe na umri kuanzia miaka 18-27. Mimi Nina miaka 28 na nimejiajiri. Tahadhari usije kujaribu . Pia naomba mzingatie umri.... ...
1 Reactions
1 Replies
784 Views
Umri wangu 30,natafuta mke wa kuoa..sichagui dini ,kabila wala elim.vigezo:uwe na chura pia uwe dar Sent using iphone 8
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana, ila naona mda unaeenda na yeye ukimuuliza hajajipanga kimaisha. Nimechoma kumsubiri natafuta mume wa kunioa. angalau awe na...
5 Reactions
129 Replies
22K Views
Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili. Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 30 Elimu yangu degree Kazi mjasiliamari Nakoishi mbeya Nataka mwanamke wa kumuoa Awe anasari Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar. Sifa za mke awe na elimu japo form four na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Natafta Mke vigezo awe tayar kuolewa, mwislamu,umri 24-32,mawasiliano ni WhatsApp 0653290146.... CV .Elimu -bachelor ya education (elimu ya chuo) .Kazi-Nimejiajiri maduka ya cm bnafs .Cna gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano, Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ninaishi dar na shughuli zangu nafanyia dar; ninajitegemea nikimaanisha nimejiajiri na pia nimeajiriwa; elimu niña digrii moja; mengine tutaambiana na ambaye...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Kicha jinajekeza Mimi ni kijana wa kiume naitaji mchunba wa kike 1.awe nwakimy 2.nyanda za juu kusini 3 .umri miaka 23-26 4.awe hajawai kuzaa au kuilewa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Awe mkristo na mwenye kujiheshimu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
6 Reactions
112 Replies
20K Views
Tafadhari usika na kichwa cha Habari hapo juu kama kinavyo jieleza. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Naishi Dar-Es-Salaam Temeke. Dini yangu ni muislamu. Natafuta mpenzi wa kike. Hawe na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naitwa Walter Frank . Nina miaka 33, Kabila ni Mkara na Mpogoro. Dini yangu ni Mkristo wa Dhehebu la Katoliki. Elimu yangu ni Shahada ya Mawasiliano na sasa naendelea na Shahada yangu ya Uzamili...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom