Vigezo.
1.Umri kuanzia miaka 30,
2.Maji ya kunde au mweupe wa asili na sio weupe wa dukani.
3. Awe anajishughulisha na kazi yeyote(sio utapeli)
4. Umbo la wastani, yaani mrefu kidogo na sio mfupi...
Habari wanajamvi,
Mimi naitwa Mjina Mrefu, nina umri wa miaka 35. Nilishaoa mke wa kwanza miaka sita iliyopita na nina watoto wawili wa kike.
Sasa ninaona ni muda muafaka wa kuongeza mke wa...
Habar zenu wana
Kama kichwa cha habar hapo juu
Daah aisee hakuna kitu kigumu mno kama kuzuia hisia zako , yaan ukizoea kufanya mapenz halaf ukakosa kwa mda akili inakua haifanyi kazi yake vzur...
Mambo vipi jaman natamani kuwa na gf wa arusha
Masharti Ataeka mwenyewe either strings attached au A friend with benefit
Kuhusu mimi
nina miaka 23
Nasoma Chuo flani hivi Hapa Arusha
Usogope...
Ninanyoa Nywele za Sehemu za siri pamoja na Makwapani. Kwa bei nafuu. Nnatumia wembe, Gillette na Shaving Machine. Hii ni kwa Wamama, Wadada pamoja na Mabinti.
Ninakufuata popote ulipo ndani ya...
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye...
Habari
Natafuta Mke ambaye atakuwa tayari kuishi na Mimi marekani, sichagui kabila wala dini Bali ningependa mwanamke huyo awe na sifa zifuatazo :-
1.awe msafi
2.awe mrefu kiasi
3.awe na chura...
Habar wana jamii
Imemtokea jamaa yangu naishi nae jirani ambae alikutana na demu mwez mmoja uliopita,wakakubaliana kuingia kwenye mahusiano na kupeana mda wa kuachana na wale wapenzi walioanza nao...
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa...
Kwanza naomba nianze kwa kujitambulisha..
Mimi ni mkazi wa Tanzania na nimejiunga jamii forum zaidi ya miaka kumi sasa lakini niliifahamu JF miaka mitatu kabla ya hapo.
NB kujiunga miaka kumi...
Habari, husika na kichwa hapo juu, natafuta mke anayejitambua na kujua nini maana ya ndoa, na mwenye heshima kwa mume
- sifa zangu kwa ufupi:-
- Nina miaka 30
-mrefu, mwembamba kiasi, rangi yangu...
Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo:
Umri: miak 19-22,
Dini: yoyote
mahali: awe anaishi dar.
Kw yoyot alie tayar nichek kwny...
Mimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto.
Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto.
Nitafute tmaganga21@gmail.com
Naamini mke anaweza kupatikana mahali popote pale Mungu ndo humwongoza mtu kupata mke mwema
Sifa zangu
Umri:30
Elimu:Chuo
Kazi:Nimejiajiri
Dini:Mkristo
Sifa za nimtakae
Umri:19-32
Elimu...
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika
Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami...
Habari zenu,
naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.
WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.