Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kike aliye nautayari ambaye twaweza jenga mahusiano thabit yatakayo lenga kuishia ndoani. Nimtaftae awe vyovyote vile mradi tu awe anajielewa na kujiheshimu na awe na kazi inayo...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
MUME: Mkewangu naumwa sana nasikia maumivu makali sana kwenye moyo naomba upige simu gari la wagonjwa lije, MKE KAICHUKUA SIMU YAKE FASTA: Haya naomba password ya simu yako MUME: Ok basi acha...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
It’s True that, Wanaume/wanawake wengi waliyopo kwenye Ndoa au Mahusiano, wapo Kwasababu tu wamekutana na wenza wao kwa sababu fulani, hiyo sababu ndo ilipelekea wawe hivyo walivyo Sasahivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 28, muislam. Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah. Vigezo vyake. 1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili. 2...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Husika Na Kichwa cha habari, Mimi ni kijana 30 Niko kaskazini arusha kazi zangu ni ujasiliamali natufuta mchumba wa kike miaka 20-35 sina masharti wala vigezo aliyetayari anitafute au kwa email...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba nitoe ushauri kwa wanaotafuta wake ama waume, hebu tuache tabia ya kuharakisha mambo, sikia huyo mke/mume you want him to be a part of you life forever, sasa tuache tabia ya ku-skip steps...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Asante ni wanajamvi.Nina furaha kuliko siku zote Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama, Nawasilisha Kazi njema
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam , Naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Niko Igunga Tbr ni mmoja wa watumishi wa umma katika secta ya Eimu natafuta msichana awe mchumba wangu mwenye umri usiozidi miaka 23 mshiriki wa SDA awe na taaluma yoyote Niko serious kuliko neno...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Dulla Same, nina umri wa miaka 21, kabila langu ni mmakonde (Konde Boy) Natafuta msichana ambaye nitaanza naye mahusiano ya kimapenzi. SIFA: 1. Awe anajiamini/kujikubal kwamba ye ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 40, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi wenzangu? Nimeanzisha huu uzi ili kuja mafanikio ya hili jukwaa kwa watu wanaolitumia kutafuta wenzi wao, yaani wachumba, wanandoa hata rafiki wa karibu kutoka humu ndani...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Daah yani ni hatari sana , siku moja nilikua na friend wangu wa jinsi ya kike me nayeye huwatunaongea mambo mengi kwa undani zaidi bila kuoneana aibu , sometimes huwa tunaongea mada za mahusiano ...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
habari zenu wanammu, mm n mwanaume wa miaka 28 pia n mwalmu wa advance , natafta mke awe mrefu, ngoz chocolate na mrembo. awe na uwezo wa kusimamia biashara, miaka yake 20 mpaka 24, no 0758704781
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa . GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu...
15 Reactions
51 Replies
8K Views
*_JARIBU KUPITIA HII HATA KIDOGO_* *_Boresha[emoji813]️NdoaYako[emoji179]_* [emoji1607]```MWANAUME anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Unakuta Mwanaume anakuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano lakini mwanamke anakuwa bado. Anataka kuula ujana na yupo katika kile kiwango cha ‘kunguru hafugiki’. Mwanaume hata afanye nini, yeye...
3 Reactions
2 Replies
750 Views
Salam wapendwa hapa sasa upweke umekuwa noma mke anahijika hapa najua wamo wengi humu jf umri ingependeza 28_34 mkristo wa ukweli inapendeza zaid
0 Reactions
9 Replies
946 Views
Back
Top Bottom