Kama kichwa kinavyojieleza wapendwa wangu nahitaji rafiki wa kike kwaajiri ya kushare mambo mbalimbali ya maisha awe na umri wa 25 or less than 25 na aliopo Dodoma.
Napenda sana rafiki...
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe...
....salaam wana jukwaa:
....Lengo la uzi huu napenda kupata rafiki (best friend) diaspora.
....Rafiki huyu ninae tamani kukutana nae ningependa awe anaishi nje atleast kwa miaka kuanzia 4+...
Habari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.
Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Dini...
Umri: awe kuanzia miaka 22 nakuendelea, asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.
Dini: awe muislamu
Elimu: kuanzia kidato cha nne na kuendelea, Sio lazima awe anafanya kazi, Na akiwa ni...
Umri: awe kuanzia miaka 25 na kuendelea, na asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.
Dini: awe muislamu kwakua mimi pia ni muislamu
Elimu: kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu, Sio...
Habari zenu wadau,natafuta mchumba wa kike umri usiozidi 28,vigezo:mimi ni mrefu Mweusi kiasi flani Elimu:Form4 hadi chuo kikuu :Mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
Mimi ni mwanaume rijali kabisa natafuta mwenza wa maisha alie tayari kuishi maisha ya ndoa na familia natokea kusini mbeya, umri wangu 28 years elim degree, kazi biashara....
Akitokea kusini...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 ninaishi Dar, mweusi mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri anaye ishi Dar ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi,mwenye kazi pia mwenye umri...
Mimi huchukulia mitandao kama pori ambalo lina kila aina ya wanyama, wakuliwa, wasio wa kuliwa na wanyama hatari.
Ubaya Zaidi hizo namba mnazoweka humu mitandaoni huwa hazifutiki kwani hubaki...
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer...
Nimechoka na upweke.
Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha.
Sifa zake;
Mrefu
Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali
Asiwe Muhaya
Elimu kuanzia la saba
Sifa zangu;
Mimi ni...
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri
Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35,
Asiwe na zaidi ya mtoto moja
Sichagui dini wala kabila
Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo...
Habari jf natafuta Mke wa kuoa alie Na sifa zifuatazo 1. Ajue kusoma na kuandika 2.awe na heshima 3. Mweupe ama Maji ya kunde 4. Asiwe mfupi sana wala mnene sana 5.umri miaka 18-26 .karibuni PM...
Nahitaji mwanamke wa kumuoa,
Sifa kuu awe Wife material, mwalimu wa shule ya msingi
Sifa ndogo ndogo:
1. Mweupe (natural)
2. Awe tayari kuwa mkristo
3. Awe chini ya miaka 26
Mimi ni mwanafunzi...
NAwasalim wandugu. Mimi kwa sasa niko musoma natafuta marafiki walio musoma tufahamiane. Mimi ni mwanaume umri miaka 25 ni mwajiriwa serikalini.
Nitafute pm au kwa e mail jerryrobson55@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.