Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
salama na amani iwe kwenu LC Kutafuta na kuchagua mwenza si kazi ndogo kama wengi wanavyochukulia kwa kuwa naamini inawezekana ikawa muendelezo wa furaha yangu ambayo nimeihangaikia kwa miaka...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote. Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Have you ever wondered why relationships influence how we perceive our worth and values...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu mabinti wa jf:- Husikeni na kichwa cha habari hapo juu: Kipato,umri,rangi,umbo n.k vyote hivyo sitazingatia, cha mhimu awe mwanamke tu! Kwa yeyote ambaye ataguswa moyoni na ujumbe huu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Asalaam Aleykum! Wakuu sipendi kuwachosha maana sisi watu wazima hatunaga habari za nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye kikombe. Jamani kwakifupi ujana wangu nimeutumia vizuri...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
SIFA ZANGU - miaka 27 -mkristo -mchaga -mwalimu -sina mtoto -mweusi -mwembamba -mrefu SIFA ZAKE -anahitaji mke -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -degree, masters, dr -umri...
10 Reactions
212 Replies
28K Views
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
0 Reactions
5 Replies
918 Views
mambo naitwa moses mkristo naishi dsm,nna miaka 33,elimu yangu kidato cha sita ,sijabahatika kupata watoto,dini yangu mnyakyusa,urefu wangu 5.8 ft,mwili wastan,rangi maji ya kunde ,bado...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi nikijana nipo hapa dar natafuta mpenzi mwenye kuelewa thamani yakupendwa na kupenda awe mkweli asiwe mwongo naomba aje pm tuongee mengi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote: In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Natafuta mke au mpenzi wa aliyenizidi umri umri wangu miaka 27 naishi morogoro mjini. SIFA ZAKE: - Awe na umri wa miaka 30 na kuendelea - Awe mwenye mapenzi ya kweli kwangu - Awe mwenye...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
habari za jioni wana love connect ninahakika humu hakuna mabinti wanaohitaji kupata wenza,maana vijana wengi wanajitokeza na kutoa detail zao,lakini hakuna mrejesho kwamba wamefanikiwa,nauliza...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji 1)awe muislamu 2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
2 Reactions
9 Replies
818 Views
SIFA ZANGU - Miaka 35 - Mkristo - Nimejiajiri na nina elimu ya kidato cha nne - Sijawahi oa na sina mtoto SIFA ZAKE - awe tayari kupima afya. - Mkristo na asiwe na mtoto -Elimu yoyote na kabila...
0 Reactions
5 Replies
961 Views
natafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....! STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION.. NI PM KAMA UPO READY Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina miaka 27 nataka mpenz wa kike aliekua na ela maaana mm sina ela ya kuhonga.. Hata senti sina. Ata sugamamy frsh. Nimechoka umaskin
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Assalam alaykum wana JF naitw a Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji 1)awe muislamu 2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
1 Reactions
0 Replies
392 Views
Back
Top Bottom