Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani. Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
kama kichwa cha habari kinavojieleza,niko serious natafuta binti wa kuoa,umri wangu ni 35yrs. vigezo; -awe tayari kuchek afya -umri chini ya wangu -kabila lolote -anajitambua kuwa anahitaji kuolewa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kijana nimejitokeza kutafuta mwanamke ambaye tutaweza kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea ndoa Kuhusu mimi Umri 25 years. Elimu Diploma. Kazi: Nurse Nahitaji mke awe na sifa zafuatazo...
1 Reactions
0 Replies
590 Views
Niko singda natafta mwanamke wakuanaye ,akipenda mungu awe mke wangu mm na miaka 24 but yy akiwa ata na 32 sio mbaya nitafte dm kama unahitaji
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu, Kwa mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF. Kwangu mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake. Mbali na...
25 Reactions
153 Replies
10K Views
Watu wengi wanazungumzia mapenzi, kupendwa na kupenda ivi wanamaaninisha nini naninani? Mwenyejukumu la kumpenda mwenzie Me&Ke!
1 Reactions
12 Replies
3K Views
HABARI! Jamani ndugu zangu, natafuta mpenzi wa kike Mimi ni kijana wa Kitanzania umri miaka 21, Nahitaji mpenzi awe amenizidi miaka 3-5, lakini sio kigezo cha muhimu sana, Ata akiwa wa umri...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU. 1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA. 2. Asiwe...
10 Reactions
64 Replies
9K Views
Natafuta rafiki yoyote wa kike aliyeko mwanza umri kuanzia 18_28 Asiwe na mchumba wala boyfriend. Dini yoyote mm n christian
0 Reactions
10 Replies
3K Views
habari naitwa junior natafuta mchumba wa kike miaka 25 mon 31 kibonge God fearing mvumilivu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mnakuwa lama watoto sortîmes..
0 Reactions
1 Replies
972 Views
upendo usiokejeli upendo unaojali bila kuangalia mapungufu ikiwa hakuna anaependa kuzaliwa na mapungufu...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
0 Reactions
3 Replies
784 Views
Mimi ni kijana wa kiume (27) nafanya kazi Dar es salaam,natafuta msichana mrembo tuwe marafiki kisha wapenzi.Awe na umri kati ya 20-40
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta girlfriend. Am 26 years old. Yoyote ambaye yupo interested anicheki PM tuyajenge. Awe yupo Dsm.
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
jamani natafuta mpenzi wa kike miaka 30 mpaka 40 tule ujana.karibu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hello my felloe JF Members, Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife I would...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom