Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke...
Habari wana jamvi ! Mimi ni kijana wa kiislamu nimesoma mpaka Master's Degree ni mtumishi wa Umma . Ninaishi Dar .Natafuta mwanamke mwembamba mrefu awe mweupe au maji ya kunde.kwa aliye tayari...
Mwanzo 2:18
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo, kama uko tayari karibu PM zote zitajibiwa
1. Uvaaji...
Mimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila...
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa...
Hello!
Madada zangu ambao huwa mna aina zenu za wanaume ambao mnataka kuwa nao..
Utaona bidada anataka mwanaume ambae
1. Yupo focused
2. Ana mipango ya maisha
3. Mwenye hofu na Mungu
4. Handsome...
Kwenye mdema wangu nmepata samaki mmoja na hata siufungui huu mdema nauvunja kwa maana sitegi tena, maana mda mwingi wanaingia kaa tu but later thanks Lord God kwa kumpata huyu mmoja, naamini leo...
Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza.
Tangazo hilo...
Make it short,
Nipo Dar ni mfanyabiashara, umri 29yrs.
Natafuta mke mwenye sifa tajwa hapo kwenye Tittle sijali sana uzuri wala rangi kikubwa tu awe mtafutaji kama mimi, na mwenye kujua majukumu...
Mimi ni kijana wa kiume umri ni 24 yrs. wanajamvi.
Ninaitaji mke wa kuoa na kuanza maisha nae.
Sifa
1. Awe yupo Kanda ya Ziwa akiwa Mwanza ni vzur zaidi
2. Sichagui dini wala kabira
3. Elimu...
Natafuta mpenzi, i mean girlfriend around kanda ya ziwa. Awe anamcha Mungu dini zote sawa na mwenye kujiheshimu. Rika yoyote
Sifa zangu
Umri: Miaka 23
Elimu: Diploma ya Ustawi wa Jamii
Kimo...
Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!
Habari wakuu,
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari...
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za...
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake...
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
Mapenzi unautesa moyo wangu kila ninapo jaribu kumtafuta wakunifariji najiumiza zaidi let me to say love takes time[emoji125] [emoji126] you Los my mind [emoji144][emoji144] I wanna be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.