Nina miaka 23, ndio kwanza nimeanza kupambana na maisha baada ya masomo.
Napenda kuwa na friends zaidi wa kike tupeane changamoto zaidi. Ukiwa interested ni PM... [emoji108] [emoji108]
Habari wana jamvi,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37, nina elimu ya chuo kikuu na kazi nzuri, nimekamilika biologically, physically.
Kitabia mimi ni binadamu sio malaika. Imani yangu ni...
Wadau kuna msichana nimempenda nikamtongoza ili tuwe wapenzi ,amenisumbua muda mrefu mpaka kuja kunikubalia sasa shida ni kwamba ameniuliza kama niko kwenye mahusiano kwa sasa nimemdanganya niko...
Habari za mchana!
Kuna jirani yangu leo tangu asubuhi kavurugwa anamtafuta house boy wake kakimbia baada ya kumstukia house girl ana mimba alivyomkodolea macho kasema kweli ana mimba ya house...
Nahitaji mwanamke wa kipemba kwa ajili ya kuoa, mie tayari nipo kwenye ndoa hivyo nahitaji ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa ya wake wengi, sifa zake
Awe mweupe sio mweusi
Awe muislam...
Wadau habarini
Nahitaji mdada ambaye ni graduate (zaidi fani ya ualimu) wa kuoa, awe na umri usiyopungua miaka 20 na isiyozidi miaka 25. Na awe mwenye kiu ya maisha, na nitafurahi zaidi akiwa na...
Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu.
Vigezo
-awe Tanzania
-mkristo
-umri kuanzia miaka 25
-awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo...
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia...
Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe...
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa...
siku nyingi nilikua sijatembelea 'engo' hizi leo nimeingia kabla sijasoma chochote naona kama nyuzi saba za wanawake wanaotafuta waume, najiuliza siku hizi wanaume hatuoi au wanawake wamekua wengi...
Licha ya kuwepo kwa kasumba au imani kuwa huwezi kupata mke katika mitandao ya kijamii,mimi napingana nalo sababu waliomo humu ndo haohao tunaokutana nao katika mazingira yetu ya kawaida hivyo...
Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi;
"Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele"...
Am a Kenya from Mombasa single, am here searching a lady from Tanzania especially from Tanga ikiwa atakuwepo because we share some common tradition i being a Digo. Am 28yrs of age, holding BCOM...
Jamani wana jamii nimejitokeza mbele yenu nami nahitaji mwenza wa maisha ambaye anajitambuwa na kujielewa awe wangu wa maisha na ikimpendeza Mungu ndiye atakayekuwa Mke wangu.
Sifa zangu mimi...