Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Asiwe mnene sana na mwembambamba sana
Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
Hi guys, poleni na majukumu,
Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mimi kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa...
Kama kichwa kinavyojielezea, mwakani Mungu akijalia nitatimiza miaka 27(full-adult man). Ila itakubidi unielewe kama nilivyo mfukoni naunga unga tu maisha pamoja na kujaaliwa kadegree kutoka kile...
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, urefu cm175, rangi maji yakunde. Siamini saana juu ya dini but naamini kuna muumba wa vyote. Kabila langu ukinipm utafahamu.
Nimeshaambiwa na wasichana...
Wana JF wenzangu,
Naomba mchango wa mawazo yenu juu ya swala hili.
Kati ya mwanamke na mwanamume walio katika mahusiano ya kimapenzi ni nani anapaswa kutamka kwa mwenzie uhitaji wa kufunga ndoa?
Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa hz
1. Awe chini ya miaka 27
2. Awe mkristu
3. Asiwe anatumia kilev chochote
4. Asiwe too much bonge
5. Awe na level ya elimu kuanzia form 4 mpaka chuo kikuu
Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. Umri 20-30, Dini Mkristu
Sifa zangu :
1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree mbili, mwajiriwa.
3)...
Habari wanajamii,
Kama caption juu inavyojieleza,
Natafuta rafiki wa kike, rafiki ambaye atakuwa kioo kwangu na mimi kioo kwake, rafiki mwaminifu mwenye upendo na nidhamu ambaye tutaweza...
Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa.
Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara.
Awe anaishi Arusha au...
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nimeamua rasmi kutafuta mchumba na kuoa ikimpendeza Mungu baada ya pilika pilika nyingi za masomo, mimi tayari nimeshaajiriwa government. Naweza nikasimama kama...
Nawasalimu wana JF wote,
Rejea thread yangu ya kutafuta mume
Ninapenda kumshukuru Mungu Baba, Muumba wa vyote kwa kuweza kunikutanisha na mwenza wa maisha yangu ya hapa duniani,kwa hatua...
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno...
Mimi ni mwanaume wa miaka 48 natafuta mke wa kuoa umri wowote awe mrefu awe mwembamba awe mweupe.
Mimi ni maji ya kunde nina urefu wa futi 5 na inchi 7 maji ya kunde slimbody nipo Dar nipo...
Jaman mwezenu naulizia kama naweza pata mke humu ndani
My age:-30yrs
Colour :- black ila c kama mkaa.
Religion:- christian
Hobby:- listening praise & worship songs
Employer:- GOVERNMENT
Sifa za...
Nimewahi kuwa na ndoa mbili kila moja kwa wakati wake, ambazo hazikufanikiwa tukaishia kuachana na hao kina mama.
Kwa kweli nashuhudia skupata wasaidizi ila nilipata warembo tu wasio na utu, I was...
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde...
Habari wanajamvi,
Natafuta marafiki aged 25 mpaka 30 kwaajili ya mitoko hasa siku za wikiend kwenda clubs mbalimbali au sehemu yeyote ya bata kama kula kunywa nakadhalika.
Nimekua na marafiki...
Wakubwa habari za usiku huu
Nimeamua kuachana na mke wangu rasmi leo hii tarehe 17 Nov 17 daa 22:59 siku ya ijumaa baada ya kumwona mke wangu anamaneno machafu na asiyekuwa mnyenyekevu
Kwa sasa...