Wakuu habari, anahitajika binti umri miaka 18 Hadi 25, awe sunni, ibada Sala Tano ikiambatana na stara ya kisheria.. muoaji ni muajiriwa serikalini umri wake 28.
#0762922336
Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
Habari zenu...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree,
Ni muajiriwa Serikalini,
Pia mfanyabiashara,
Ni mweusi 5.7 feet tall,
Ni mweusi wa wastani.
Natafuta mke wa kuoa
Awe na umri wa...
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c
Hawa ni watu ambao nimekuwa kwa...
Tafadhali naomba nijielezee kwanza:
Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji...
Dear jf members kheri ya mwaka mpya 2024 ...
Huu ni mwaka wa kihistoria katika maisha yangu ya hapa duniani ni mwaka ambao natarajia kufanya maamuzi magumu ya kufunga ndoa tukio ambalo nimeliwaza...
Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
Nahitaji mtu mke atayekuwa mwenza wa maisha.
Sifa zake
1. Asiwe mpenda kujipodoa sana. Tafiti zinaonesha wanaojipodoa san asilimia kubwa ni wachepukaji.
2. Umri uwe kati ya miaka 23 na 28
3...
Waungwana kama kichwa cha somo kinavuojieleza hapo.
Mimi ni nipo Dodoma nahitaji mchumba umri 22-25.
Kwa aliye tayari karibu inbox tuyajenge zaidi.kipaumbele kwa walioko Dodoma sichaguwi dini...
Mwanaume
Naishi Dodoma kikazi.
Umri wangu 39.5
Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa
Dini:mkristo
Kazi:nmeajiriwa na serikali
Mweusi mimi sio sana
Nahitaji mke
Umri 25-35
Awe mweusi kidogo...
Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.
Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia...
Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu...
Jina: John
Kazi: religious
Makazi: Dar na Zanzibar
Umri: 34
Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha...
Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni...
Habari Za Leo Ndugu Zangu.
Mimi ni Mwanaume
Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke.
SIFA ZANGU.
1. Elimu Chuo
2. Umri Miaka 28
3. Nimeajiriwa
SIFA ZA MCHUMBA
1. Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.