Nahitaji mke nimuoe asizidi miaka 27 na akubali kucheck afya.
Mimi sasa
Umri wangu: 27
Kazi : Nimejiajiri
Elimu: degree
Mkoa: Mbeya
Nyumba: Ninayo sijapanga ila ni pagale haijakamilika.
Urefu...
Mi mwanamke wa miaka 28 mweusi, mfupi, mnene kiasi
Nipo Arusha nafanya kazi office binafsi.
Nahitaji Mume Mkristo aliyeseriouz miaka kwanzia 30-34 awe mrefu, mweupe au maji ya kunde, awe na...
Mm nikijana wakiume umri wangu 27 years __nipo dar (nahitaji mpenzi wakudate nae tuenjoy maisha )
NOTE:kuhusu ndoa bado bado (nasubiri text yako inbox)__kuhusu ninae mhitaji umri wake usizidi 35
Natafuta mchumba. Sifa zangu: maji ya kunde, miaka 32, nina degree ya mtaani, sijaajiriwa, mfanyabiashara: sifa za mke: maji ya kunde, miaka 20-25, kidato cha nne lakini awe na taaluma ya dawa za...
Natafuta mwanamke, mpenzi, mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu, na asiwe muongeaji sana tafadhari.
Mimi ni mweusi, mwenye urefu wa wastani si mrefu na wala si mfupi,
Dini...
Habari zenu,naitwa epi Niko dar umri miaka 30 natafuta marafiki wa kuchat nao na kurelax akili yangu.angalizo naitaji marafiki tafadhali na cyo wapenzii ......Asante
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu...
Bonjour,
I am looking for a serious man, in brief;
I am a Lady
Age & sex - F of 31 years old
Marital status - Single and I have no kids yet
Education level - Bachelor Degree and employed...
Bila shaka hawa wana mapenzi ya Kweli na hata Mungu ametusisitizia kuwajali wajane, kama kuna mjane asizidi miaka 40 namuomba inbox tujaliane, Mahusiano yakikaa vizuri awe tayari kupima Afya...
Habari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji...
Hellow J F
Mimi ni mwenyeji wa Musoma hukoo ndani ndani
nimesoma sifa nyingi nzuri na nyingine hasi kutoka kwa mabinti wa Kaskazini mwa Tanzania, ila kwangu napenda changamoto
niunganisheni na...
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary...
Hello wanajamvi,
Mimi ni kijana Mwenye miaka 34. Nina watoto wa 2. Nimezaa na mke mmoja. Tulifunga ndoa ya kanisani ila hatukufanikiwa kufika mbali after 7 years tumevunja ndoa mahakamani. Sasa...
Habari wana JF-MMU
Mimi ni ME mwenye umri kati ya miaka 22-25 natafuta mpenzi wa kike ambaye si mweusi wa rangi namaanisha awe either mzungu, mwarabu, mchina au mhindi. Kwa yeyote aliyetayari...
Sifa zangu
Elimu: degree
Kazi: nimejiajiri (phone accessories)
Mahali Kanda ya ziwa
Umri: 30
Dini: pentecoste
SIFA ZA MKE
Elimu: kuanzia form 4
Umri: chini ya 30
Dini: mkristo akiwa na vocal ya...
Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.
Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.