Habari wana JF,
Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri...
*Mwisho wa interview
Niliyemtafuta nishampata
-Feedback kwa wadada mnaotafuta wenza kuna alot of potential guys,and smart ndani humu wanaotaka kusettle.
-msivunjwe moyo na negative comments.
Hello there, I'm a 41-year-old man working in the education sector with a Master's degree and currently pursuing a PhD. I have an amazing 11-year-old son. I'm searching for a life partner aged...
Salaam,
Mm ni Kijana wa Miaka 32. Mwajiriwa na Mchakarikaji. Natafuta mwanamke Mchamungu awe Muislam miaka 24 hadi 28.
Asiwe na mtoto.
Makazi yangu Kwa sasa ni Tanga
Kwa mwenye uhitaji wa...
Habari,
Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko...
Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.
Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.
Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu.
Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea.
Kwa mawasiliano zaidi PM au ni...
Baada ya kugundua kuna watu wana uwezo lakin wako loneliness,stressed,wanahitaji kuwa na mtu wakuwapa company,kuongea nao, kukaanao,kutoka nao(outings) nimeamua kujitoa kuprovide hiyo service kwa...
Dear Jf Crew team,
I am looking for a single woman who may become my 'Soulmate ever in my lifetime'.
My Merits:
My education is beyond Bachelor's degree
Employed by government
My age range is...
Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.
Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe kabila...
Mimi ni kijana wa miaka 38 mwenye shahada ya kwanza. natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu ya kimaisha. masuala ya ngono hapana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.