Wakuu Salaam.
Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM.
Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote...
Habari wana Jamii forum..mm nipo serious naitaji mchumba kilema hasa awe hana miguu au masikio
Nimetokea kuwa na wanawake kadhaa ila saizi nawapenda na navutiwa na vilema
Can yangu
1...
Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar
SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed...
Habari, kama mnavyojua ili familia iitwe familia lazima ikamilike yaani baba na mama na watoto
Mimi ni mama wa miaka 29, elimu degree, nimeajiriwa na pia nimejiajiri, nina mtoto moja wa kiume...
Mwanamke naye muhitaji naomba awe na sifa hizi.
1. Umri miaka 22 mpaka 28
2. Mcha Mungu
3. Awe ameajiriwa serikalini / sekta binafsi au mjasiriamali.
4. Kabila lolote
5. Dini yoyote (hapa...
SIFA ZANGU
Mwanaume mrefu Fut 5.6,
Mweupe, Macho ya Brown,
Mfanya Biashara Tanga Mjini,
Nipo ( SINGLE ).
SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE.
Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa,
Dini yoyote,
Awe Tanga /...
Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae:
Muislam
Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
Mrefu wastani
Mstaraabu na mcheshi
Ukiwa na watoto sawa
Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto...
Bado naamini kupitia kwenye hili jukwaa naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema.
Miaka yangu 33
Nimeajiliwa kwenye wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani.
Muajiriwa serikalini.
Mimi ni...
Mimi ni kijana wa miaka 27 - 33. (hatua ya kujitambua na kuwa mwanaume kutoka mvulana)
Nimeajiriwa katika sekta binafsi. Ajira ya kimkataba.
Naishi Dar es salaam ila ni mwenyeji wa Mbeya...
Nahitaji mke mwenye miaka kuanzia 34 hadi 37, akiwa na watoto wasizidi wawili, awe muajiriwa serikalini au binafsi, mweupe, akiwa kajaa itapendeza, kabila si muhimu sana, dini akiwa mkristo...
Mimi ni kijjana wa umri wa miaka 29 nina elimu ya stashada ya nyuki natafuta mke wa kufunga nae ndoa
SIFA ZANGU
Mrefu kiasi
Umbo la wastani
Mweusi
Mkristo
SIFA ZA NIMTAKAYE
Umri 20-27...
Salamu Kwa wote, Mimi ni kijana umri 30.
Nafanya kazi migodini, nina mwili wa kawaida.
Nahitaji mwanamke umri usizidi miaka 29.
Dini awe Cristian. Kabila lolote aliye tayari karibu pm.
Miaka yangu ni 28
Naishi mkoa wa Iringa
Kazi yangu kwa sasa ni machinga
Natafuta mke wa kuoa
Miaka 22-25
Asiwe na mtoto
Awe muwazi na mkweli
Mwenye kuheshimu kila mtu
Elimu yoyote
Awe na nia ya...
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio...
Habari za majukumu Ndugu zangu,
Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya...
Nakumbuka kipindi cha nyuma uzi wa namna hii ulikuwepo hapa jukwaani, mimi ni miongoni mwa wanajf nilioufaidi uzi ule
Sasa nimeonelea niurejeshe tena maana haupo humu
Kutongozana kiutu uzima...
Mimi ni kijana wa kiume umri yapata miaka 30 sasa. Mimi si mtumiaji sana wa Jamii forum ila nilijiunga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali. Lakini mwaka huu nimebahatika kupata ajira serikalini...
Habari za muda huu wanajf, natafuta mpenzi jinsi ke mimi ni jinsia me awe na sifa zifuatazo
1.Awe mrefu kiasi
2.Umri kuanzia 23-27
3.Dini awe muislam
4.Awe anapatikana Morogoro
5.Asiwe na mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.