Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni...
Am a Single mom with a 6 years old daughter, a proudly mom, Na miaka 30 naishi dar, business woman.
Ni mnene kweli bonge la mama, mweusi na sio mfupi sio mrefu, mchapa kazi, nimesoma sio haba...
Mamboz,
Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini.
Nawasilisha.
Mimi ni kijana wa kiume
29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo
1. Umri 22+
2. Dini (Christian) mcha Mungu
3. Location - Tanzania
Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi...
Mi nikijana wa miaka kati ya 27 had 34 nimeoa na nina watoto wawili, nimekuja kwenye jukwaa hili nikiitaji mke wa pili yaan bimdogo, na sababu za kutafuta mke, wa pili moja niko na miradi ambayo...
Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo, awe Morogoro au Dodoma, awe Mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato.
Mimi ni muajiriwa - private, I'm black beauty, loving and charming +...
Habari za wakati huu wakuu,
Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu.
SIFA ZAKE
★ Umri 20-26.
★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana)...
Naitwa Daniella Lyimo na umri wa miaka 23, nimrefu so sana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani...
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda
Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na...
Wee mwanaume. Kama:-
1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu...
Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30
2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo
3. Awe mweupe au maji ya kunde...
Hello!
Mungu awababariki
Niko mwanaume with 42age
With VIH + and mtoto mmoja
NATAKA MWANAMKE wa kuoa
Same life.
Mwanamke akubari ku inshi Tanzania au Rwanda
Kwa SABABU Mimi nainshi Rwanda.
Niko...
Mume hupatikana popote hata sokoni
Sifa zangu ni hizi
1- Hofu ya Mungu
2-Mchaga wa rombo
3- Umri 25-29
4-Sijaajiliwa naungaunga na vbiashara vidogo
5- Sijawahi KUOLEWA.
6- Elimu ninayo ya ualimu...
Wasalam,
Kwa upande wangu nina 30+. Mtoto mmoja, Mwajiriwa na Mkristo. Napatikana nyanda za juu kusini, seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Uwe mkweli na muwazi.
PM iko wazi...
Awe:
●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
●Kabila lolote
●Miaka 31 kushuka chini
●Elimu form 4 na kuendelea
●Kazi yoyote (si lazima)
●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate...
Awe na 19-25 age
Kasoma ajasoma, educated or not it’s ok
Wa nchi yeyote ilee hata aliyekulia tanzania/any country
Kuhusu muonekano sijali urefu sijui ufupi, shape i don’t care
Kuhusu uchumi wangu...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.