Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums leo nimeamua kwa dhati nije humu kutafuta mchumba.
Mimi ni muislamu ninamiaka 24 nakaribia kumaliza elimu yangu ya degree mwezi huu pia...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji mwanamke wa kuoa, aliye tayari nifuate PM.
SIFA:
~ Umri 18-24
~ Elimu kuanzia la saba nakuendelea
~ Awe tayari kutafuta maisha yenye mafanikio
~ HESHIMA na UTII
Nipo Dar kimakazi na umri wangu miaka 54. Nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa kimaisha na awe mkweli na mwaminifu, umri usiozidi miaka 50.
Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0784371889...
Habari zenu wakuu,
Mimi sina mambo mengi ya kueleza, ninachohitaji ni mke ambaye tutaelewana na kuoana. Sijali dini, kabila, elimu wala kipato.
Mimi ni muislamu, umri wangu ni miaka 30, sina...
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi...
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe...
Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha.
Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea...
Amani iwe kwenu wapendwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima).
Ni mtumishi kwenye kampuni...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 30-40
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea.
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5.Awe Mkristo
Mimi...
Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.
Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu
Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1...
Mimi ni mtu mzima nipo hapa Dar kimaisha na nahitaji mwenza ambaye atakuwa mke wangu Mwenyezi Mungu akijalia na awe mkweli na muaminifu na muogopa Mungu na umri asizidi miaka 50 na aliye tayari...
Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:
1. Umri kuanzia 21 hadi 40
2. Yupo Dar
3. Anajitegemea kimaisha
4. Haijalishi ana mtoto au hana
5. Anahitaji utulivu wa akili na moyo.
6. Ana mawazo chanya ya...
Habarini wana JF,
Mimi natafuta mume wa kuishi naye;
~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii
Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38...
Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi;
~ Miaka 28 mpaka 35
~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi
~ Mkoa...
Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo:
1. Umri usizidi miaka 30
2. Mkristo
3. Awe anapenda ujasiriamali
4. Mweusi na Mnene
5. Asiwe amesomea kozi...
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa;
~ Mimi ni mwanamke age 31
~ Muislim
~ Naishi Dar
~ Nina mtoto mmoja
~ Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
~ Nina mtoto mmoja tu
~ Natafuta...
Criteria;
~ Age: 23-32
~ Shape: Neither fat nor thin,with 8 figure will be given first priority
~ Colour: Natural White or black
~ If is a single mother, should have not more than one kid.
~ Not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.