Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wana JF, Mimi ni mpya hapa, niseme wazi kuwa nimejiunga leo kwa sababu moja tu kutafuta mke bora/mwema/ aliye tayari. Wasifu wangu; Dini: Mkristo Umri: 45 Mkoa: Mbeya Familia: Watoto...
2 Reactions
7 Replies
663 Views
Hello Bila kuwapotezea muda ndugu zangu Nahitaji mature woman -Aged 30-40 ambaye ni very intellectual -Mwenye focus katika maisha akiwa mcha mungu it's go point for me but -Asiwe mtu...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
29 year old guy in Dar es salaam who is handsome and fit, can pull you up when dangling off a collapsed bridge - taller than you my mom says im smart and funny monogamous, trustworthy and...
1 Reactions
10 Replies
756 Views
Naatafuta mke awe tajiri; ~ Nina miaka 30 ~ Sina mtoto ~ Nipo mkoani ~ Sina Mali ~ Nimejiajiri MKe nimtakaye; ~ Awe tajiri ~ Umri 30 kushuka chino ~ Elimu yoyote ~ Usiwe na mtoto (kama unaye awe...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika. Muda mwingi nawaza...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Nipokeeni ndugu zangu 1: Sifa awe miaka 18-27 2:Mkristo 3:Mwenye heshima na utii wa kweli 4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba 5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara...
1 Reactions
24 Replies
820 Views
Hello, Mimi ninamiaka 29, nina mtoto mmoja, najishughulisha na ususi. Natafuta mume kuanzia miaka 30-70, awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa kweli, awe anajishughulisha.
20 Reactions
116 Replies
7K Views
Mimi ni Mwanaume miaka 28 mkazi wa Dar es Salaam natafuta mchumba Mimi ni mtumishi wa serikali, mwanamke awe mkazi wa Dar umri 25 kushuka chini asiwe na mtoto elimu yake kidato cha nne na...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 31, mkristo, urefu ni ft 5.8, uzito 65 na sio mnene, muonekano wangu ni wakawaida, elimu yangu ni degree moja na nimejiajiri, kwa sasa na kipato changu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wapendwa, najitokeza kwenu wana JF; ~ Mimi ni binti mwenye miaka 26 ~ Naishi Kusini mwa Tanzania ~ Elimu yangu ni diploma ~ Dini yangu ni Mkristo Hakika nimechoka upweke natamani kuolewa...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu, Mimi naishi Dar es Salaam, kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa. Nina miaka 21, elimu yangu ni certificate, sijaajiriwa bado. Atakaye kuwa interested tunaweza...
9 Reactions
137 Replies
36K Views
Habari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari zenu wana Love Connect, Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect. Hivyo kutokana na hilo nina rafiki zangu wanatafuta waume wa kuanzisha nao mahusiano na...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wanafamilia wa jf Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia. Umri wangu 28yrs Elimu bachelor's Mfupi, maji ya...
16 Reactions
191 Replies
16K Views
Hello ladies and gentlemen, it is my hope that you're all doing great. As the title says hereinabove, I would like to inform you that I'm now searching for the right one(wife material or my...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm. sifa; Asiwe mvaa milegezo Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa...
8 Reactions
98 Replies
9K Views
Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani...
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Mimi nipo Dar kimaisha na makazi pia na ni mtu mzima ninaye jiheshimu natafuta mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye Hadi ndoa muhimu awe mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na umri usiozidi miaka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
If you are a lady with these attributes: 1. Smart (Intelligent) 2. Matured 3. Financially independent 3. Ambitious 5. Caring And you need someone to spend quality time with, a man who is: 1...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninatafuta mwanamke mwembamba, mrefu, ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu. Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom