Habari,
Mimi ni mama wa watoto wawili nahitaji mwenza;
~ Umri miaka 28
~ Makazi dar
~ Watoto wawili baba yao mmoja
~ Mwembamba
~ Mweupe
~ Urefu wastani
~ Dini mkristo
Ninaye muhitaji;
~ Umri...
Mimi naishi A town .
Ni binti bado single nafuta serious relationship.
sijafika 30 ila nakaribia.
natafuta mpenzi mwenye vigezo simple.
1.Awe handsome sanaa
2.Awe anafanya kazi maana hata mimi...
Natamani kumpata mume Mwenye hofu ya Mungu akiwa mkathoric itapendeza umri wangu ni miaka 28 Nina watoto wawili single mom anipende na watoto wangu awe baba awe mtafutaji ambaye yuko interested...
Mimi ni kijana wa miaka 30, nina diploma ya B.A, sina mtoto na wala sijawahi kuoa. Mimi ni mkristo RC na nakaa Dar, nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi, nahitaji mwanamke mwenye diploma au zaidi na...
Mimi ni mdada wa miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.
Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha...
Awe mwanamke...Mwenye Hofu ya Mungu, uzuri wa wastani, urefu wa wastani.
Dini yoyote ndani ya Ukristo.
Umri wake kuanzia 27-30
Awe hajawahi kuolewa pia asiwe na Mtoto, Ila awe na Uwezo wa kuzaa...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.
Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.
Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka...
Nmeona nitoe mrejesho
JF is full of matured women if you look well you can find yourself a very beautiful wife in here just be a man of focus and nini wataka i mean stay focused on your goals
...
Hello!
Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.
Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,
Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana...
Sina maneno mengi
Sifa zangu:
25yrs
Maji ya kunde
Sina kazi
Muislam
Ninayemhitaji:
Kuanzia 28-32yrs
Rangi yoyote
Awe na chochote cha kumpa rizki
Muislam
Karibuni
Habari wadau...
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40...
Nipo dar ,Nina miaka 27 ,nahitaji msichana mcha Mungu , sichagui dini japo akiwa mkristo itakuwa vema zaidi , awe na umri 18-30 ,
Elimu sichagui , nahitaji wakujenga nae familia na kuoana kabisa...
Mimi ni mwanamke wa Kitanzania nimeajiriwa taasisi ya kiserikali lakini kutokana na kusoma nimechelewa kupata familia nahitaji mwanaume mwenye nia ya kuwa na mke asiwe mume wa mtu asiwe chini ya...
Habari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;
- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na...
Habari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.