Naitwa F mwenye umri 36, dini mkristo, kazi nimejiajiri, mrefu kiasi.
Natafuta mke wakuoa mwenye sifa hizi;
Umri - 33-38
Dini- Mkristu
Elimu - Kidato cha sita na kuendelea.
Mtoto - Akiwa naye...
Hello Wana JF,
Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu.
Sifa ya Eva ninaye mtaka;
~ Awe na umri...
Naitwa Scola, nina miaka 32 nimejiriwa kwa Government na ni degree holder
Natafuta mwanaume ambaye naye anatafuta mwenza kuanzia miaka 35 - 50, awe mkristo anayejishughulisha.
Nahitaji mwanamke msichana ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe.
Mimi Nina miaka 32
Mjasiriamali
Mkazi wa Dar es salaam.
Mkristo
Mnene kiasi,maji...
Naitwa NALIA NGWENA
Jinsia: me
Miaka yangu: kijana
Kazi: dalali/unga unga mwana/harakati za hapa na pale/kubeti ndiyo kazi zinazoniweka mjini.
NB: nahitaji mdada serious aje akonge moyo...
Wanajamvi, narudi kwenu!
Guys, I have been specific and decided not write in Swahili, to get the right person. I guess by this, only interested parties will come to my PM. You don't meet the...
Assalamu alaykum Wana jamiiforums
Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.
Sifa.
1. Asiwe...
Kwa aliye tayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa...
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni...
Habari zenu!!!
Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious.
Awe anaishi Dar es Salaam
Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote.
Umri kuanzia miaka...
Habari, ni matumaini yangu mko poa, kwa nia ya dhati kabisa nakuja kwenu kumtafuta mchumba ambaye tukiridhiana tufike hatua ya ndoa.
Mimi ni mkristo nampenda Yesu
Level ya elimu Diploma
Nina...
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja...
Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo
Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi,
Asanteni
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini...
Naishi Dar es Salaam
Nina watoto 3
Nafanya kazi na Biashara
Elimu ya chuo
Umri wangu 42
Dini Yangu Mkristo.
Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa,
Umri kuanzia miaka 30+
Asiwe na mtoto/watoto...
Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka,
Na ninavyojiona si muda mrefu...
Wanajamii, salaam!
Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri.
Mimi ni mwanaume,
-miaka 38
-rangi chocolate
-mkristu
Ninahitaji la...
Habari
Natafuta mchumba kisha awe mke,
Mi ni kijana nnaye karbia miaka 40,
Nna watoto wawili, kwa mama mmoja nliyeachana nae takriban mwaka na nusu toka sasa.
Nafanya kazi taasisi moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.